gsu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 3,461
- 711
Sote tunafahamu kuwa waziri mkuu wa zamani bw sumaye alitoa pesa za kutosha kwa mwenyekiti wa chadema Taifa ili sumaye awe mgombea urais wa chadema katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Pamoja na sumaye kutoa pesa nyingi ili agombee urais kwa tiketi ya chadema bado mbowe hakumpa nafasi ya kuwa mgombea na ikumbukwe kwamba pesa zote hizo zilichangwa na wafanyabisahara marafiki wa sumaye ambao walipanga kunufaika kama sumaye angekuwa Rais wa Tanzania.
Katika hali ambayo siyo ya kawaida mbowe alimpa nafasi hiyo Lowasa baada ya kutoa kiasi cha pesa takaribani bilioni tano ambapo sumaye alikuwa ametoa bilioni tatu hivyo kuzidiwa dau.
Pamoja na kutokupewa nafasi hiyo ya kugombea urais lakini sumaye hakurudishiwa pesa zake badala yake aliambiwa asubiri kwani Lowasa asingeweza kumaliza kampeni kutokana na hali yake ya kiafya kuwa mbaya.
Baada ya uchaguzi kuwa umekwisha wafanyabishara waliomchangia sumaye wametaka kurudishiwa pesa zao baada ya makubaliano kukiukwa na bw mbowe hali ambayo inaonekana inaweza kuleta mpasuko wa ajabu kwani pesa zote hizo hazikupokelewa na chama badala yake zilipokelewa na mbowe wakati chama hakijui lolote juu ya pesa hizo.