Nauona mwaka 2025 utakavyokuwa mgumu Kisiasa

Magufuli asifanye makosa kama ya mkwere aanze kumwandaa Bashiru au Majaliwa kuchukua nafasi yake ya Urais na Dotto Biteko au Jaffo waandaliwe kuwa waziri mkuu.Hao kina makamba na Nape tuachane nao kabisa wataturudisha tulikotoka yaani chama kilikuwa kama chao
Usishangae Makonda akapewa nafasi ya kugombea Uraisi 2025
 
Timu nzima ya Magufuli haina mtu anayefaa hata kuwa waziri huo urais itakuwaje ?

Serikali nzima ya Magufuli imejaa watu wa hovyo hovyo tu unategemea humo atapatikana presidential material ?
Hawa wajuba waliompiga Tanganyika jeki Hamisi mikopo watapata tabu saaana.
CIMG4859.JPG
 
Hahaha hili jamaa la hovyo sana akipata madaraka makubwa zaidi ya uwaziri si ataua watu yule
Hahah aisee shughuli itakua ni heavy,ila mzee baba alisema yeye anapendaga vichaa vichaa.

Itabidi 2020 MO ajiandae kwa kugoma kumkopesha pikipiki 25 mjomba.
 
Basi uchaguzi huu wa 2020 ndo mgumu kuliko chaguzi zote zilizopita sababu ndo uchaguzi wa kwanza kufanya mabadiliko ya kihistoria ambayo hayakuwahi kutokea tangu Tanganyika na Zanzibar zipate uhuru. Maalim ataiongoza Zanzibar kwa mara ya kwanza Huku TL akiiongoza Tanganyika kama Rais.
Inaonekana umelala usingizi
 
Rais ni Majaliwa na Waziri Mkuu ni Simbachawene au Dotto Biteko.msinibishie! Tusubiri na huu uzi usifutwe mpaka 2025
Dotto Biteko hawezi kuwa Rais kwanza ni Msukuma halafu Kanda ya ziwa nchi sio ya kanda ya ziwa hii ,halafu ni mkiristo

Simbachawene ni mkiristo ni zamu ya waislamu

Waziri Mkuu hapana ,hakubaliki na hana mvuto ni walewale
 
Anatutoa kwenye reli huyu Lumumba. Anataka kutuaminisha kwamba CCM itabakia kuwa chama tawala wakati Tundu Lisu ndo anachukuwa dola. Mpuuzeni huyu.
"Kwa mwaka huu ni lazima tukiri kuwa ni ngumu kubadili kiongozi aliyekuwepo hasa ukizingatia mitazamo ya Wananchi ilivyo katika uongozi wake."

Kwa hio statement hapo juu,Uko sawa Kabisa Sexless.
 
Dotto Biteko hawezi kuwa Rais kwanza ni Msukuma halafu Kanda ya ziwa nchi sio ya kanda ya ziwa hii ,halafu ni mkiristo

Simbachawene ni mkiristo ni zamu ya waislamu

Waziri Mkuu hapana ,hakubaliki na hana mvuto ni walewale


Kama ni lazima awe mwislamu basi ni Bashiru au Majaliwa
 
Back
Top Bottom