nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
Watatokea wajinga hapa watasema mimi ni utopolo ila jana Yanga mmmetusitiri Watanzania tusiopenda dharau mmetupa heshima nimefuwarahia sana.
Sasa nataka kujua kama team yangu ya simba itachukua zile hela za jasho la maskini walioingia uwanjani saa tano mechi ikaahirihishwa ili tu wafatilie hotuba za kuzindua kitabu cha 75,000 wajionee jinsi raisi mstaafu tajiri anavyopewa benzi la milioni 400.
Dah kudakeki walahi haya bana.