masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Kupandishwa umeme kulikofanywa na TANESCO kwa baraka za EWURA kwa kweli hakukuwa halali.
Pamoja na kumhurumia sana Eng Mramba, lakini yeye yuko katikati ya matatizo aliyoyarithi.
Kuna Idara, Wizara, Taasisi za Serikali HAZILIPI kabisa umeme.
Katika kundi hilinkuna mawizara na majeshi.
Huko Zanzibar, sijui kama sasa wanalipa bili za umeme, wote serikali na wananchi kwa TANESCO.
Kwa hiyo mlipaji wa hakika wa umeme ni huyu mtumiaji mdogo, wafanyabiashara na wenye viwanda tu.
Mh Magufuli ahakikishe tu kuwa upande wa serikali na hata Zanzibar walipe bili zao, huu naona ndo mfupa unaelekea kuitatuza TANESCO, nahatimae kuendekea kuwabana wadogo.
Naomba kutoa hoja.