Naungana na kocha Zahera kuhusu suala la Kakolanya

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Binafsi mimi ni shabiki wa Yanga. kitendo alichofanya Kakolanya kwa mtu mwenye busara hakiwezi kuvumiliwa. Kwanza akumbuke kuwa Klabu ya Yanga ndo imempandisha chati badala yake analeta mgomo. Ni heri Klabu ibaki na makipa Kindoki na kabwili hata tukifungwa magoli kumi na Simba kuliko kumrudisha Kakolanya. Kwa nini baadhi ya mashabiki wanamuonea huruma?. Klabu imuonyeshe mlango wa kutokea. Kocha Zahera shikilia msimamo wako huo huo.
 
Mechi na simba mutapigwa za kutosha safari hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shishimbi na yeye amegoma akidai stahiki zake au kusitishiwa mkataba, tuone na yeye kama atatendewa kama kakolanya!
 
Leo unaungana na Zahera kumtosa Kakolanya, Siku yanga ikipigwa, utaungana na Kakolanya kumtosa Zahera. Yajayo yanafurahisha
Binafsi mimi ni shabiki wa Yanga. kitendo alichofanya Kakolanya kwa mtu mwenye busara hakiwezi kuvumiliwa. Kwanza akumbuke kuwa Klabu ya Yanga ndo imempandisha chati badala yake analeta mgomo. Ni heri Klabu ibaki na makipa Kindoki na kabwili hata tukifungwa magoli kumi na Simba kuliko kumrudisha Kakolanya. Kwa nini baadhi ya mashabiki wanamuonea huruma?. Klabu imuonyeshe mlango wa kutokea. Kocha Zahera shikilia msimamo wako huo huo.
 
Binafsi mimi ni shabiki wa Yanga. kitendo alichofanya Kakolanya kwa mtu mwenye busara hakiwezi kuvumiliwa. Kwanza akumbuke kuwa Klabu ya Yanga ndo imempandisha chati badala yake analeta mgomo. Ni heri Klabu ibaki na makipa Kindoki na kabwili hata tukifungwa magoli kumi na Simba kuliko kumrudisha Kakolanya. Kwa nini baadhi ya mashabiki wanamuonea huruma?. Klabu imuonyeshe mlango wa kutokea. Kocha Zahera shikilia msimamo wako huo huo.
Atafute team nyingine kwetu Jangwani hatutaki mamluki
 
kwa bahati nzuri papaa zahera anatoa funzo kwa wachezaji wa tanzania kuwa nidhamu kiti cha msingi. kakolanya atafute sehem stahiki kwake ila yanga hana nafasi, ameonyesha majivuno ya hali ya juu kwa timu ya wananchi. ule ni ushamba. maana yake papaa akikubali kakolanya arud atakua virus kuambukiza wengine migomo. Kama vipi akaungane na chilwa ambae nyota yake ishaanza kuwa hafifu maana ameenda sehem isiyo na fan base
 
Binafsi mimi ni shabiki wa Yanga. kitendo alichofanya Kakolanya kwa mtu mwenye busara hakiwezi kuvumiliwa. Kwanza akumbuke kuwa Klabu ya Yanga ndo imempandisha chati badala yake analeta mgomo. Ni heri Klabu ibaki na makipa Kindoki na kabwili hata tukifungwa magoli kumi na Simba kuliko kumrudisha Kakolanya. Kwa nini baadhi ya mashabiki wanamuonea huruma?. Klabu imuonyeshe mlango wa kutokea. Kocha Zahera shikilia msimamo wako huo huo.
Mkuu
Nakumbuka ktk moja ya interview za Antonio conte aliwahi kuulizwa kuhusu inapotokea Mchezaji akakosa nidhamu yeye humfanyeje???

Conte alijibu kwa urahisi tu "I prefer to kill him "
Na tuliona alichofanya kwa Diego Costa

Hivyo naungana na kocha Zahera katka hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom