Naungana na Halima Mdee kwa asilimia mia moja kuhusu ujumbe wa hii tweet yake

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Nikiangalia NAMNA kila KUNDI la KIJAMIII(Wakulima, Wafanyakazi , NGOs,CSOs,Watoto wa KIKE, RAIA wa KAWAIDA etc) LINAVYOSHUGHULIKIWA, nakumbuka mapema kabisa BAADA JAMAA kuzuia VYAMA kufanya MIKUTANO.TUKAWAAMBIA tumjengee UKUTA mapema ,Tuzuie UDIKTETA,HAMKUTUELEWA!sasa Mnatuelewa.

Chanzo:Ukurasa wake wa twitter.
 
Mada za nusu nusu hv unatakiwa ubaki nazo..umeshndwa eka hyo tweet watu waone? au ndio kusema huko tweeter halima kapost tweet 1 tu tangu ajiunge nayo?

kwa maana ingine tujiongeze!
 
Nikiangalia NAMNA kila KUNDI la KIJAMIII(Wakulima, Wafanyakazi , NGOs,CSOs,Watoto wa KIKE, RAIA wa KAWAIDA etc) LINAVYOSHUGHULIKIWA, nakumbuka mapema kabisa BAADA JAMAA kuzuia VYAMA kufanya MIKUTANO.TUKAWAAMBIA tumjengee UKUTA mapema ,Tuzuie UDIKTETA,HAMKUTUELEWA!sasa Mnatuelewa.

Chanzo:Ukurasa wake wa twitter.
Halima ameacha kuvuta bangi ?
 
Mungu mbariki Mdee
 
Hana jipyaa, alimpokea Lowasa, msagaji, hatembelei jimboni kwake kuona kero, anaruhusu kuwa chini ya mwenyekiti dikteta miaka kibao n.k list ni ndefu
 
Back
Top Bottom