Naunga mkono tarehe 3/10/2011, KUVAA NGUO NYEUSI

Mctake kuwaharibia maisha wadogo zenu wa form IV..tar 3 oct ndio wanaanza necta hvo hawataruhusiwa kufanya mtihan na nguo nyeuc..na hata kuvaa nguo nyeuc czan km n suluhisho kwa kuwa serikal inafahamu kuwa 2mechoka na matatzo ya umeme...suluhsho n kuumiza kichwa chako cha kutafuta solutn zen peleka kwa ngeleja km wazo n zuri na linatekelezeka 2takuwa 2mekomboka co kuvaa miguo mieuc km wafiwa afu kichwan ZERO hamna haja

Ndio tumefiwa,
Hata mwalim nyerere alikufa tarehe 3 october, walichelea kutangaza makusudi kwa kuweka mambo sawa!
 
Mimi nitavaa na nimemshawishi wife tutavaa wote, kesho nitapromote kazini. Namba na engine tufanye hive.
 
Wakuu je wadada na wamama wasio na nguo nyeusi siku hiyo watatembea vifua wazi? Naifike hiyo siku haraka ora ora oraaaaaa.
 
Hapo c kuvaa nguo nyeusi tu,iambatane na maandamano ya nchi nzima kupinga ufisadi unaosabisha ugumu wa maisha kwa watanzania wengi huku wachache wakinufaika kwa mikataba mibov.hakuna kulea-lea nchi ni yetu....alutaa...!
 
hizi sasa ndiyo cheche, mimi nitavaa, kama mabadiliko hayatatokea, tutakuja kuvaa nyekundu na baada ya hapo aisee, big up kwa wazo hili la kuprotest
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom