Ukikaa uswahilini hauwezi kushangaa sana,kinachonipa tabu ni kwani nini huo mkojo ulikuwa hauendi through the pipes au mnataka kuniambia tayari masinki yameshaziba!!!!
Kuataarabika is a process though we have a long way to go.

Ndio hapo shemeji,utafikiri hata kwenye TV katka tamthilia ya sekandi chansi huwa hawaoni vyoo kama hivyo.lol!mimi sidhani kama hii ni sababu ya watu kutokuwa wastaarabu
Mimi nakupinga tena vikali,Baadhi ya watanzania tena walio wengi hawatumii akili.Shem nakukubali una akili sana wewe.kwa kifupi sana watanzania HATUTUMII AKILI-naungana na YoYo
Halafu rangi ya hii mikojo inaonyesha hata maji huwa hawanywi hawa,ze banana na wanzuki kwa kwenda mbele.kazi kweli kweli!
Najiuliza
1.hao watu walikojoaje hapo, walibebana maana hizo sinks kwa vipimo vya kawaida ni virefu kuliko usawa wa kiuno cha mtu, na Watanzania wengi si warefu kiasi hicho
2. Inakuwaje hizo sinks zimeziba
otherwise walaaniwe wale waliofanya/waliosababisha vitendo hivyo........ni aibu
1. UKIBANWA NA MKOJO UNAWEZA UKAAURUSHA HATA UKAPITA DIRISHA LILILO JUU HASA ALIYEKUNYWA POMBE HUWA UNAUMA KAMA UGONJWA.
2. SINKI ZIMEZIBA KWA VILE WATU WAMETUPA SOLID WASTE KAMA Polymer.
Najiuliza
1.hao watu walikojoaje hapo, walibebana maana hizo sinks kwa vipimo vya kawaida ni virefu kuliko usawa wa kiuno cha mtu, na Watanzania wengi si warefu kiasi hicho
2. Inakuwaje hizo sinks zimeziba
otherwise walaaniwe wale waliofanya/waliosababisha vitendo hivyo........ni aibu
Na mtu asipolaani hichi kitendo kwa maandishi hapa atakuwa nae ni kati ya waliochojoa pale.
hapana lazima kuna upungufu mahali,maana inaeleweka hayo masinki si sehemu ya kukojolea kwa nini wafanye hivyo?KWA kawaida wanaume si huwa mna vijisehemu vyenu vya kukojolea humo vyooni au sytem ya vyoo hapo uwanja wa UHURU ikoje?ni wanaume WAZIMA!na wana akilli zooote 36