Naunga mkono makala ya "Wao wabaki na chanjo yao, sisi tubaki na Mungu wetu"

TAFAKARI MAONI YA ELIUS NDABILA: MSIMAMO WA RAIS DKT MAGUFULI DHIDI YA UGONJWA WA CORONA NDIO ULIKUWA MPANGO WA MUNGU KWA AFRIKA.
 
Hizi tabia za kuongelea watu (yaani kila mtu) SISI..., wakati sijui sensa ya kila mtanzania anasemaje ilifanyika lini..., sio poa kabisa....

Ushauri tu kila mtu aongelee nafsi yake...., na katika mambo ya Kitaaluma tuache facts ziongee na sio kukurupuka na kuleta comments ambazo hazijathibitishwa beyond reasonable doubts
Mbaya sana mkuu, yaani watu wanakaa chemba huko halafu wanaibuka na kusema chanjo marufuku, yaani wanapangia wengine 50 milioni bila hata any consultation!!! Mbaya zaidi we that they are not even capable of producing any vaccine tokea Dunia iumbwe. Hata vipimo vyenyewe vya Corona hawawezi kutengeneza...

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom