MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
- Thread starter
- #21
Soka lenu kwani Wewe halikuhusu na siyo Mtanzania?Soka lenu ndio la kipumbavu zaidi, unategemea maswali yetu yaweje juu ya soka lenu?
Soka lenu kwani Wewe halikuhusu na siyo Mtanzania?Soka lenu ndio la kipumbavu zaidi, unategemea maswali yetu yaweje juu ya soka lenu?
Kumkuwadia tu Kocha Mkuu Ndayiragije Wanawake hasa wale Waandishi wa Habari wa Michezo wa Kike wa Kitanzania na Yeye kupata 10% yake.Kaseja ana jipya gani?
Tunahitaji sababu ya Kueleweka kwanini Kipa Mnata na Beki Hussein wameachwa vinginevyo nami naiombea tu mabaya katika CHAN ya mwakani.Timu yote MBOVU sioni wanachofanya.
Wasipofungwa basi watatoa suluhu
Sishabikii Simba wala Yanga ila hakuna Wachezaji walio juu sasa kwa Viwango kama Kipa Metacha Mnata na Beki Mohammed Hussein. Aondoke!!!Hamna kocha mle.
Kama Siasa tu zimemshida na bado mpaka leo anahangaika Kuujenga Uchumi wa Tanzania, unadhani katika Mpira atakuwa na Jipya Kiufanisi pia?Meko kasema timu ya taifa tuachane na wachezaji wa simba na yanga.
Ni Fools / Idiots pekee ndiyo watakuelewa kwa hiki ulichotuandikia hapa Ndugu. Kocha Mkuu huyu kwa hili siyo tu amekosea bali pia ametepeta.Kuna muda muachieni kocha na benchi la ufindi kazi yao..
Tusijifanye kila kitu tunakijua..
Sawa hao uliowataja wako form (lakini si kila aliye on top form kwa muda flani anastahili kuitwa timu ya taifa).
Kuna msemo kwenye mpira unasema form is temporary but class is permanent....
Na pia kuna ishu ya muunganiko kwenye timu, mara nyingi timu ya taifa hazibadilishi wachezaji mara kwa mara.. makocha hua wanaamini katika wachezaji flani ambao tayari wanafit kwenye mfumo wao (recall germany national team mwaka wanachukua kombe la dunia,, wachezaji kama khedira & klose,, hawakua on top form na pia kwenye club zao walikua hawachezi kabisa, lakini mwisho wa siku waliitwa timu ya taifa na wakiwa na uhakika wa kuaanza first eleven)
All and all ,, wamepewa ajira kocha na wasaidizi wake kwa ajili ya kuisaidia taifa stars, tuwaache...
Wakishindwa kufikia malengo ,, wataketwa wengine
Kocha hua ahukumiwi kwa kikosi alichokiita au alichokipanga,Ni Fools / Idiots pekee ndiyo watakuelewa kwa hiki ulichotuandikia hapa Ndugu. Kocha Mkuu huyu kwa hili siyo tu amekosea bali pia ametepeta.