Naundiwa zengwe nipewe mke kwa nguvu.

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,845
2,937
Nimekuwa nikisikia mijadala pembeni kwa watu, mtaani wanahoji mbona sioi wakati mimi ni afsa serikalini na umri umeenda? wengine wanaenda mbali zaidi na kunichunguza napendelea mwanamke wa aina gani, leo kwa masikio yangu nikiwa nimejibanza kwenye kona nimemsikia jirani yangu wa kike akiongea na mwenzake, eti wanaambiana kwa nini tusimtafutie mbinu tumpe mke ukizingatia mtu mwenyewe ana bodaboda 2 na amejenga nyumba ya chumba na sebure? kwa kweli kwa uwezo huo mtaani kwetu wewe ni mtu wa kuheshimika, wanasema ikibidi hata kwa waganga waende tu, mmoja anakoleza kwa kusema tumechoka, sasa wamechoka vipi wakati hayawahusu. Sijui cha kufanya, napanga niwavae kuwaambia nimewasikia na waendelee na mpango wao ili kuwatisha.
 
una bahati unaundiwa tume ili upewe mke .... subiria mchakato uka,milike sasa acha haraka mkuu'.............
 
Back
Top Bottom