battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,672
- 2,540
Kama wewe ni mwanmke, basi wote wanakurithi hata hao wa mchepuko.Mwanamke anakuwaje na watoto nje ya ndoa?
Kama wewe ni mwanmke, basi wote wanakurithi hata hao wa mchepuko.Mwanamke anakuwaje na watoto nje ya ndoa?
Pole sana jamani dear!
Andika wosia wako mwaya, tena umechelewa sana mimi kila mwezi nabadilishaga wosia wangu!!
Hamna uchuro hapo ni kujiandaa kuwaacha vizuri wale tuwapendao!!
Watu wame book hadi makaburi na si uchuro. We andika tu.Wakuu, nina umwa sana wapendwa. Ninasumbuliwa na uric acid. magoti yako hoi.
Nilitaka kuandika wosia,kwa ajili ya mali zangu kidogo nilizo nazo.
Mashoga zangu kama sio mashosti zangu wame nionya kuwa kamwe, katu nisithubutu kufanya hivyo kwa kuwa ni dalili mbaya (uchuro).
Wenye nia njema na mimi naombeni ushauri wenu.
Uko kisheria kabisaa MkuuKama hauko kisheria hautatambulika
😆😆😆Wewe hujaandika bana
😂😂😂
Acha woga wako jamani
Unautunzaga wapi wosia wako dear?Pole sana jamani dear!
Andika wosia wako mwaya, tena umechelewa sana mimi kila mwezi nabadilishaga wosia wangu!!
Hamna uchuro hapo ni kujiandaa kuwaacha vizuri wale tuwapendao!!
Duh! Kweli unaumwa naona umevimba hadi machoahahahah, sasa wewe umeingia JF ndio una siku 40 utaweza kweli kuwajua wanajf na jinsi zao. hahahahahahahah. Mimi ni mwanamke, tena shupavu, nione hapa kwenye picha. hahahaha
View attachment 1274103
Nakujua ulivyo muoga
Kwanini unaamini hivyo?
Kwa mwanasheria wangu dearUnautunzaga wapi wosia wako dear?
Waswahili wananitisha....am too young to die jameni
Ndioo! Unakuwa unamuita mtoa roho awe ana buz buz karibu yako😂😂😂😂
Kwani ukiandika unakufwa?!
😂😂😂Nakujua ulivyo muoga
Mwambie hata RITA wanatoa hiyo hudumaKwa mwanasheria wangu dear