Naumia

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,420
3,391
Nilitami wangu awe wa kwanza class Ila kaniangusha
1622795995974.png
 
Inaelekea wamefungana sana dogo max ziko poa kamwachia mwalimu 10 si mchezo
 
Aliyeona EXCELLENT zote, then kwenye majumuisho akapewa GOOD :) , ajifanye kama anajikuna hivi, aone. Naungana na aliyeibua kimsemo cha Wonders shall never end. Au nasema uongo ndugu zangu!???
 
Back
Top Bottom