Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,820
- 18,816
Wewe ndio una uelewa finyu sasa...jamii inapimwa uvumilivu na ustahimilivucwake kwa namna inavyowa treat waliopo kwenye kundi ambalo ni disasvantaged,Mzee una exposure finyu sana
Lol so hiyo culture ya wanaume wa kiafrika majority kumuongelea wanawake negatively ndio inafanya waafrika wawe wabaguzi kuliko wazungu?
Mbona wazungu na wenyewe wana msemo wao maarufu kwamba "all boys/men are dogs"?
Na wenyewe tuseme kisa kajeruhiwa kwenye mahusiano na mwanamke mmoja na kuchukulia wanaume wote duniani ni mbwa, nao ni ubaguzi?
Come on, that's nonsense
Wanawake wanabaguliwa kwenye siasa, elimu, uchumi sababu ni kuwa ni wanawake hawana akili na uwezo, yaani amekuwa judged kutokana na jinsia yake kabla ya hata kumtest, sasa wewe unazungumzia misemo eti men are dogs? Tunazungumzia halisi yanayotendeka