Naumia kwa kutokumiliki demu mkaliiiiiiiiiiiiii.

the mkerewe

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
232
14
wakuu!!
leo naweka hadharani

Sijawai kuwa na msichana mkali yaan kitu mwakemwake (beyond the expectation)
Nimebaki nikila kwa macho na roho inaniuma maana watu (wanaume )wa kawa humiliki hawa bebies na mbaya hawana hata starlet.

Nawaza kuhamia Arusha nimeambiwa huko kuna watoto wakali na hawana nyodo kama wabongo.Think of mtu unamiliki Aunt Ezekiel ni raha na fahari kiasi gani?
Mimi ntahonga incase inalazimu akijisogeza mrembo mkali na sexy figure

foolish age mentallity

mtu anaweza kuwa na mwanamke mkali lakini ana share huyo mwanamke na watu kadhaa

au inam cost robotatu ya mshahara wake
au hivi au vile

sio kila king'aacho ni dhahabu

Tafuta hela kwanza utawapata, kama hiyo ndiyo fantasy yako.

Lakini ngumu kumiliki, labda kutumia tu kwa muda, na kushare kama kawa. Kizuri hakiliwi na mmoja.

Unataka kufa kwa presha sio?unadhani wanaommiliki Aunt Ezekiel wana amani mioyoni mwao?tafuta mtoto wa kawaida mzee hao wakali tunakula halafu tuna tupa kule wa wengi wale

Umri wako kwanza maana siamini kama unawaza haya
Badala ya kuwaza maendeleo unawaza kuhonga ili umpate mwanamke mkali
then ukimpata halafu ukawa unashare na wanaume wenzako utafurahi au kushangilia
Au awe mkali na mbinu za maisha hana yeye ni mtumiaji tuu
Au awe mkali na akawa hana lolote kwenye fani

foolish age mentallity

mtu anaweza kuwa na mwanamke mkali lakini ana share huyo mwanamke na watu kadhaa

au inam cost robotatu ya mshahara wake
au hivi au vile

sio kila king'aacho ni dhahabu
niko tayari kutoa mshahara wote nimmiliki hata kwa mwezi mmoja

Jamani, acheni kumshambulia Mkerewe. Ki ukweli ukipata dem mzuri kuna raha yake. Acheni ubishi. Ukiwa na mke mbaya ana tabia nzuri bado hutaridhika. Ukimpata mzuri mwenye tabia nzuri hapo utaona raha... Sio mzuri mwenye tabia mbaya, hapo utalia. MWANAMKE AKIWA MZURI KUNA RAHA YAKE, 90% YA WANAUME HUANGALIA SURA NA UZURI KWA UJUMLA KWANZA. Sio unapata demu yupo kama dume.. Alaaaah!

100% umesema ukweli

umeshindwa nini kuapata huyo dem mkali mbona wapo wengi ajabu, au wewe mwanaume kipande hata sikuelewi kabisa unalalamika huna dem mkali inaonekana hata uliye naye ulitongozewa wewe.

ukiwa na pesa ya kutumia, siyo ya mawazo lazima watoto wazuri wapite karibu yako. Hudhuria hotel au beach za maana utakutana nao tu, kuwa na usafiri mzuri, simu nzuri pia tupia pamba frsh, tangaza mipango mizuri juu yake, utafanikiwa mkubwa.

Huyo mwanamke mkali kwako anaweza kuwa wa kawaida sana kwa wengine, na hao unaowapata ambao unawaona wa kawaida sana kwako wanaweza kuwa wakali sana kwa wengine. So, wewe ndo unajua kipimo chako cha "mwanamke mkali" and since inasemekana wapo wengi jaribu kuwafuata uone response itakuaje. Pengine uoga wako tu au unajua kinachokufanya usiwapate?!!!

wakuu!!

leo naweka hadharani

Sijawai kuwa na msichana mkali yaan kitu mwakemwake (beyond the expectation)

Nimebaki nikila kwa macho na roho inaniuma maana watu (wanaume )wa kawa humiliki hawa bebies na mbaya hawana hata starlet.

Nawaza kuhamia Arusha nimeambiwa huko kuna watoto wakali na hawana nyodo kama wabongo.Think of mtu unamiliki Aunt Ezekiel ni raha na fahari kiasi gani?

Mimi ntahonga incase inalazimu akijisogeza mrembo mkali na sexy figure

Una miaka mingapi wewe?

Huyo mwanamke mkali kwako anaweza kuwa wa kawaida sana kwa wengine, na hao unaowapata ambao unawaona wa kawaida sana kwako wanaweza kuwa wakali sana kwa wengine. So, wewe ndo unajua kipimo chako cha "mwanamke mkali" and since inasemekana wapo wengi jaribu kuwafuata uone response itakuaje. Pengine uoga wako tu au unajua kinachokufanya usiwapate?!!!

wewe ni mwanamke mkalii, according to me lol

Similar Discussions

Back
Top Bottom