Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,211
- 1,185
Habari zenu wanajamii forum
kuna kisa niliwahi kukileta hapa cha mimi kuwa na rafiki wa kike ile yeye mambo ya mapenzi hataki kusikia maana nimejaribu mara kibao kuubadilisha urafiki yawe mahusiano lakini imegonga mwamba ......sasa yapata mwezi sasa nimekata mawasiliano naye nikiwa na maana hatusemezani hata tukikutana darasani kila mmoja anakuwa bize na mambo yake.....tatizo linakuja kwangu kwa kuwa tunasoma college moja kila nikimuona roho inaniuma sana anapokuwa anaongea na boyz wengine na ninapata unafuu pale nisipomtia machoni kwa muda lakini nikionanan naye tu roho inaniuma na kujiuliza kwanini huyu girl hataki mahusiano na mimi ila ananipendea kwenye mambo ya academic tu,,,,,nisaidieni nifanyeje hata nikionana naye roho isiume