mwambunnyara
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 518
- 206
Nakaa na mtoto wa kaka yangu hapa kwangu, ghafla kaniuliza swali, hivi Baba eti kwanini mtoto akizaliwa na miezi Saba anaishi lakini akizaliwa na miezi nane anakufa? Naomba sababu za kisayansi, kwa kuwa sijawahi kufuatilia sababu za jambo hilo, nikamwambia nitakujibu baadaye kidogo, kwa sasa Nina haraka, nikaondoka.
Naombeni mnisaidie wataalamu niondokane na kaaibu kanakoninyemelea.
Naombeni mnisaidie wataalamu niondokane na kaaibu kanakoninyemelea.