Naulizia wapi naweza pata hili tunda la strawberry?

Wakubwa habari za wasaa.
Naulizia wapi naweza pata hili tunda la strawberry. Mimi niko Dar es salaam, napenda kujua bei ni shingapi kwa sababu nataka kwa jumla niwe natengenezea yoghurt
Unahitaji kiasi gani nikuunganishe na wife mfano kwa picha hiyo package moja elfu 7 kwa jumla
IMG-20201020-WA0063.jpg
 
Mche wa strawberry ni mfupi na mizizi haiende mbali hivyo hata kama huna shamba/bustani unaweza kuotesha kwenye mifuko au makopo.0719527062/0757056472 .Karibu tufanye biashara
 
Hivi kwa Dar es salaam inastawi hiyo?! Anyway, sio kwa ajili ya kilimo serious lakini natamani one day nibadili my small backyard into a small orchard with varieties of fruit plants! Kama strawberry haifai kwa mazingira ya Dar, ni matunda ya aina gani yanakubali udongo na hali ya hewa ya Dar?
 
Je inakubali kwa hali ya hewa ya Dar es Salaam?
 
Hivi kwa Dar es salaam inastawi hiyo?! Anyway, sio kwa ajili ya kilimo serious lakini natamani one day nibadili my small backyard into a small orchard with varieties of fruit plants! Kama strawberry haifai kwa mazingira ya Dar, ni matunda ya aina gani yanakubali udongo na hali ya hewa ya Dar?
ndio boss inastawi bila shida kabisa.Strawberry inahitaji sehemu yenye joto kiasi,udongo wa tifutifu na wenye rutuba.Lakini pia Miche hii inahitaji sehemu yenye maji ya uhakika sababu unahitaji maji ya kutosha.
Mavuno ni baada ya mwezi mmoja tangu kupanda na kuanzia hapo unavuna kila week.
Matunda/Miche mingine inastawi vizuri ni Papai,Embe,Chungwa,Parachichi ,pera na passion
 
karibu sana
 
Shukurani kwa maelezo yako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom