naulizia utata wa system mpya ya kutoa mikopo vyuoni

Feb 5, 2012
63
6
toka mwaka huu wamasomo uanze cjaielewa serkal na loans board.wanasema kupata mkopo lazma usain sa inashangaza vyuo km udom na saut vnawanafunz weng lakn kusain lazma na chuo km udsm kutokusaini na pesa kuingia moja kwa moja tatzo nn mbona mnatuchanganya c cc wote wakopaji. alafu mkataba wa mkopo ni kati ya mwnafunzi na mimi sa chuo kinaingiaje afu hv kisheria hli likoje.michango ya maana tu ushabiki wa vyuo cjui hki bora haviitajk hapa.
 
Wewe kaa ukijua ya kwamba Wanafunzi wa UD, Wanajua kupigania haki zao za msingi. Na vilevile UDSM wana utawala mzuri sana, kuanzia Serikali ya Wanafunzi hadi wamiliki wa chuo.
 
Laumu kwenda vyuo vya kata,
hata hivyo unasaidiwa tu usome ingekuwa zamani wewe ungetafta kwanza principle then ndio uaplay dip,
 
Hawa nao wanatudriv mno akili zetu mwaka jana walidai kuwa utoaji na usimamizi wa mikopo umeamishiwa kwa vyuo muda huo huo inaonekana loarn board ndiyo wahusika wakuu so haya maswala naona ni kama ilivyo kawaida ya tz siasa evywhere.
 
Laumu kwenda vyuo vya kata,
hata hivyo unasaidiwa tu usome ingekuwa zamani wewe ungetafta kwanza principle then ndio uaplay dip,

chuo gani cha kata? Sijaelewa ulichoandika na kama wewe pia unapewa mkopo basi gvt inapata hasara mana kichwa kibovu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom