Naulizia upatikanaji wa IPHONE Bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naulizia upatikanaji wa IPHONE Bongo

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mchana, Sep 15, 2008.

 1. Mchana

  Mchana Senior Member

  #1
  Sep 15, 2008
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 181
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wakuu heshima kwenu. Tunaomba mtujulishe ni wapi mtu anaweza kupata apple IPHONE kwa bei nzuri hapa bongo, new/used? 2G / 3G. Pia mliokwisha kuzitumia tupeni wasifu wake hasa kuhusu uwezo wa betri yake na speed yake katika kufungua kurasa za mitandao
   
 2. C

  Chief JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2008
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nadhani SAPNA, na duka linalofuatana nalo wanazo hizo IPHONE. Hapo ni karibu na Askari monument.
   
Loading...