Naulizia Unlimited Bandle ya INTERNET

Hilo bando nilipata jumatano 12 may limekuja kuisha jumanne 17, kwa hizo siku nilizokuwa natumia lilikuwa unlimited ona hio chart

Screenshot_20220520-125941.png


Kwasiku nilikuwa natumia GB 9-10
Hii ilikuwa may 14
Screenshot_20220514-223401.png

Hii may 15
Screenshot_20220515-121348.png

Hotspot
Screenshot_20220514-223543.png

Screenshot_20220515-121452.png

mmh ngumu kumeza, milele na milele Tigo hawawezi kukupa hata GB 5 kwa Tsh 2000! wewe Hizo 72 ni ukakasi mzito. I'm

Anyway onyesha ushahidi.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile ap

Screenshot_20220520-130036.png


Screenshot_20220520-125941.png
 
Chief-Mkwawa kweli nimeamini Elon janja janja. Nimesoma sehemu kuwa kumbe anataka negotiate upya bei ya $44 billion ipungue na board ya Twitter haitaki punguza hata sumni.
Eti anadai kuwa wameshindwa kumpa proof kwa less 5% ya akaunti za Twitter ndizo bots. Kajamaa kajanja janja bwana.
 
Habari wana jukwaa naulizia gharama za unlimited internet kwa makampun ya sim mwenye anajua anijuze niliulizia Vodacom huduma kwa wateja wakaniambia hiyo huduma ipo ila unakua umefungiwa ka dish flan hv nyumban na wakaniambia unachagua speed 10MB/s ni Tsh 115,000/= na 20MB/s ni Tsh 165,000/= wakaniambia nitume location ili waweze kufanya survey bahata mbaya eneo nililopo huduma hiyo haipo nakafel hapo.

Hapa nilipo nipo karbu na Hospitali ila hospitali inatunia unlimited ya zantel wamewekewa na dish ila wanalipa 600,000 kwa mwez na mi naona ni sawa taasis kubwa kwa lak sita unlimited sawa Tigo kwa taasis kubwa najua hua ni laki 9 kwa mwez Tigo wana bei bei kidogo

sijui kuhusu TTCL, Airtel na Halotel na kwa upande wa Tigo na zantel najua gharama kwa Taasis kubwa kama Hospitali ila gharama za mim kama mm nkihitaj huduma hiyo sijui ni sh ngap mwenye anajua gharama individual za makampuni haya ya sim unlimited internet kwa mwez na gharama zake naomba anisaidie Vodacom najua hiyo mingne nisaidie wenye experience ili nione wap niende mi nacho taka yan Home based
Ongea na IT wa hapo hospital kama mko karibu na unaweza pata signal akutengenezee hotspot kwenye kutokea Router kubwa zile uwe una mlipa kila mwezi!!!
 
Mimi kuna jamaa aliyenitengenezea kila mwezi napata GB 1 nitumie kwa wiki, ila ni kwa simu za Android tu ndivyo alivyo niambia, mtandao wa Tigo, Huu ni mwaka wa 2 sasa natumia hii offa na sijawahi weka salio kwenye laini hii maana huku kwetu laini za Tigo zinashika mtandao sehemu sehemu
 
Back
Top Bottom