Naulizia nhif waliofanya written interview walishaitwa kwenye oral? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naulizia nhif waliofanya written interview walishaitwa kwenye oral?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Godwin Mneng'ene, Sep 28, 2012.

 1. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naomba kujulishwa kuhusu usaili wa written nhif uliofanyka kule ukumbi wa baraza la maaskofu
  kurasini walishaitwa kwenye oral? manake ni kamda kamepita tokea usaili huo ufanyike.
  Mtu unaweza kuwa unasubiri kumbe watu wameshaajiriwa.
  Naomba kujulishwa tafadhali kwani na mimi nilifanya hiyo written
  kwa ajili ya nafasi ya senior admnistrative officer.
  Nawasilisha kwa ufahamisho.
   
Loading...