Naulizia most trusted online shopping site ya bidhaa za Uturuki

Mimi niliagiza kupitia kwake mara 2....nimenunua xiaomi phones mbili....zote nilizipata ndani ya wiki tatu..baada ya kumtumia hela....
Siku ya kuchukua mzigo nilienda ofisini kwake posta....pia sikumpata...ila alikuwa aneacha maagizo.....
Mtu anaye fahamika kuna na ofisi... Na wengi wana fahamu ofisi yake...

Akuingize king kienyeji?

Huyo jamaa aongee vizuri aweze eleweka na Nina imani Mwl.RCT na jamaa wata wasiliana kumaliza swala hili
 
Yawezekana wanamjua so wanataka tu kumharibia CV yake asipate kazi coz mtu ana physical office tena inajulikana anaanzaje kukutapeli kizembe hvyo
 
Soon naingiza mtambo
Screenshot_20210801-221717.jpg
 
Mtu anaye fahamika kuna na ofisi... Na wengi wana fahamu ofisi yake...

Akuingize king kienyeji?

Huyo jamaa aongee vizuri aweze eleweka na Nina imani Mwl.RCT na jamaa wata wasiliana kumaliza swala hili
Mbona sijakusingizia wewe! Au kuna members wangapi humu, afu nimchague yeye!? Huwezi tumia akili hata kidogo, au hujawahi miliki akili.?
Usitafute umaarufu au discount Kwa kupotosha au kujifanya unajua Sana.
 
Boss huyo Mwl.RCT Mimi kwake nimesha agiza vitu vingi zaidi ya USD15,000 Kwa Mara moja...

Nabado Uzi wake una endelea hauna kashfa ule Uzi na unge kuwa wa kitapeli jf wange ufunga...

Ktk watu ma elfu ndani na nje ya tz anao wahudumia na ofisi zake zina fahamika zilipo, je ulichukua hatua gani kumtafuta au kufika ofisini kwake?

Watu wana kuangalia na kusikitika sababu wengi wametumia huduma yake na mrejesho ni chanya...

Mimi nimetuma USD 15,000 na mzigo nililetewa nyumbani, TBS sijui tra zote kafanya yeye Mimi nimemlipa gharama tu ktk a/c yake ya equity bank ya USD

Simjui sija wahi onana nae... Watu wana fika wana sema mzigo tumeagizwa na mwalimu tukuletee...

Elezea kinaga ubaga, mwalimu nilikulipa ushahidi huu lakini huduma sjapata, nimefanya juhudi kadhaa kukutafuta lakini una nikwepa, ushahidi ni huu hapa na majibu uliyo nipatia si ya kiungwana...

Wewe una kuja una weka taarifa haina mbele wala nyuma...

Nenda ktk Uzi wake, kaangalie nimeagiza bidhaa na nimepokea nyingi tu, na ikiwapo huo mzigo wa mamilioni... Na wengine wana endelea kuagiza...

Si shabikii utapeli, ila elezea kinaga ubaga na yawezekana hata jf na wadau wengine waka kusaidia...
 
B

Biashara yeyote huwa na changamoto wote mnachosema huwenda mkawa mko sahihi kwaiyo ni swala tu la yeye kukubali au kukata kwa reasonable evidences..
 
Nachoshangaa Mwl RCT hamjibu kabisa KakaJambazi!

Kwanini hamjibu? Kuna kitu hakiko sawa.

Na nyie mnaomtetea Mwl, bora kuacha hawa watu wajadili wenyewe. Kutokukutapeli wewe hakufanyi asimtapeli mwingine!

Nimewahi fanya biashara na Mwl, najua nachokisema.
 
Back
Top Bottom