Naulizia mbwa aina ya German Sherpered

Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,021
2,253
Wana JF, nitapata wapi mbwa hapa jijini Mwanza ? wawe na maumbile makubwa na wawe wakali haswa wanisaidie kupambana na vibaka hapa home….nina fensi ya ukuta lakini kila wiki kibaka anabeba tyreya gari, kuku, bata, nguo …etc utadhani wamenunua wao.
 
Spelling ndungu yangu:German Shepherd!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom