Naulizia malipo ya dstv premium package

believer

JF-Expert Member
Dec 22, 2012
633
213
habari wadau,naomba kujulishwa malipo ya package za premium na compaq za dstv kila mwezi.
 
Premium laki na thalathini au laki na ishirini na tisa au laki na ishirini na nane.

Inategemea na dola ikoje
 
Mie huwa nalipia premium mara nyingi haizidi sh.130,000/=, hiyo compact ni kati ya 80-90 elfu...lipia premium acha ubakhili yakhe!
 
Back
Top Bottom