Naulizia kuhusu zile kazi za muda za Uchaguzi Mkuu October

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,193
5,123
Habari za leo wajumbe wa Uchaguzi Mkuu,

Mie kijana nipo nasoma chuo kikuu hapa dar es salaam , napenda ulizia eti zile kazi za muda za kusimamia Uchaguzi Mkuu je zinapatikanaje (maana natafuta pa kujishikiza katika likizo hiyo ya mwisho wa mwaka)?

Na je wapi kutakuwa na chances either mijini or vijijini?
 
Hiyo apo ratiba
 

Attachments

  • RATIBA YA UCHAGUZI MKUU 2020.pdf
    266.1 KB · Views: 22
Ajira zinatolewa na wakurugenzi pamoja na Wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo,muda ukifika zitatangazwa na utaomba.

Binafsi 2015 nikiwa namaliza kidato cha sita niliomba na nilipata bila refa au mtu wa kunishika mkono.
All the best!
 
Ajira zinatolewa na wakurugenzi pamoja na Wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo,muda ukifika zitatangazwa na utaomba.Binafsi 2015 nikiwa namaliza kidato cha sita niliomba na nilipata bila refa au mtu wa kunishika mkono.
All the best!
Kipind kile weng tulikula shavu za operator tukiwa university sasa hivi kama huna hile CARD YA LUMUMBA na connection sahau zinatolewa kisirisiri mno.
 
kipind kile weng tulikula shavu za operator tukiwa university sasa hivi kama huna hile CARD YA LUMUMBA na connection sahau zinatolewa kisirisiri mno.
Namba wataisoma sana....hata mimi nakumbuka nilipataga mwaka 2010...ilikuwa shavu sana kipindi kile..na ninakumbuka kupitia fedha zile nilinunua smartphone yangu ya kwanza kabisa mwaka ule...

Mwaka 2015 haukuwa njema sana...pesa ilikuwa ndogo kuliko miaka yote
 
Now days ili upate ata kusimamia tu uchaguz lazma ujifunze kujikomba komba sana kwa viongoz na kuwamwagia sifa sanaa ata ukiwa uvccm alaf ukawa kama Hussein Bashe ujue huna chako.

Lazima utaje sana Stegliers gorge, SGR, uchum wa kati, hospital za wilaya na flyover yaan hzo muda wote unazitamka ata kwenye topic ambayo haihusian kabsaa ujue umekula ajira.
 
Hizi kazi wala hazina haja ya kujikomba komba maana wanaohitajika ni wengi sana mfano katka uboreshaji wa daftri la wapiga kura kila kituo kilikuwa na watu wawili I mean operator na mwandishi wake sasa katika kusimamia uchaguzi kila kituo kinakuwaga na watu wanne ina maana wanaongezeka wawili so ukiomba lazima upate especiaally vijijini huko hivyo mtoa mada vuta subra tu mwezi Septemba ukifika uombe kulingana na kata utakayopenda kufanyia.
 
Back
Top Bottom