Naulizia Bei ya transfer paper na sehemu zinapopatikana hapa Dar Es Salaaam

judey

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
436
513
Kichwa tanjwa hapo juu chajieleza wanajamvi naomba kujua Bei ya transfer paper hapa mjinii na zinapatikana wapii Sana Sana
 
Agiza China mkuu bongo wengi hata kuzijua hawazijui labda kwenye duka za wahindi
 
Back
Top Bottom