Naulizia affordable honeymoon options zilizoko karibu na dar.

Tsidekenu

Senior Member
May 7, 2009
141
41
Hi members,

nategemea kufunga ndoa in two weeks time but pa kulilia fungate sijapata. nani anaweza kunisaidia mawazo ya mahali pazuri ambapo mtumishi wa serikali wa kati anaweza kuafford kama mimi?
 
Shauriana na mkeo/mumeo mtarajiwa!!! Ni vema wote mridhie mahali na gharama then uje hapa ullize mahali withini your price range then nina hakika utapata majibu mazuri sana. Kwangu affordable ni Kunduchi Beach Hotel, White Sands,.........Unajua affordable is too ambiguous!!! Affordable kwangu yaweza kwa dola 250 kwa siku wakati mwingine affordable ni kama dola 10 ka siku!!!!! Tunatofautiana katika swala la affordability!!!
 
Jamani mshikaji kasema yeye ni muajiriwa ya Serikali ye2 na nimfanyakazi wakati. Mkadirie mshikaji pato lake then mchekie Affordable price.
Lengo la kumtaja Mwajiri wake na possition yake niilituweze kuaproxmate Income yake, then 2mchagulie Kiwanja cha Maraha.
 
Mkuu,
itakuwa ngumu kwelikweli kumkadiria pato lake bila info za ziada k.m.
1. Amehudhuria seminar ngapi kwa mwaka huu
2. Task forces
3. Posho za vikao nje ya ofisi
4. Safari za ndani na nje ya nchi
5. Biashara nyingine baada ya saa za kazi
Kama yuko tayari kuweka wazi basi atasaidiwa kukadiria pato na hatimaye kushauri wapi patamfaa.
 
Nenda Mkuranga "Viguza Village". It is out of town and a quite Place.

Good Average Room at TZS 35,000 Per Day. Nice Food too and a bit quite and may be could be romantic.

TV, Hot water, Garden, Bembea etc.
 
thanks mkulu, i will check on that.

WOS - mtumishi wa serikali kuu na karani hizo safari unazosema nitazitoa wapi?

Superman - asante sana.
 
Nenda Mkuranga "Viguza Village". It is out of town and a quite Place.

Good Average Room at TZS 35,000 Per Day. Nice Food too and a bit quite and may be could be romantic.

TV, Hot water, Garden, Bembea etc.
mkuu, is there anyway ukawa una contacts za hawa watu,au jinsi ya kufanya booking? najaribu kusearch kwa net but sioni website yao. please help or anyone outthere who can help.
thanks.
 
Yes Mkuu, I have a card of Hotel Manager but I left it at home. Will PM kesho nikikumbuka. Otherwise, it is only about 1 KM before you Reach Mkuranga on your Left Hand side. You will see a sign board.

Also, try Kongowe (Ya Mkuranga too) few Km after Mbagala. There is Mwanzo Park Lodges. It is a Superb resort in the midest of trees and gardens with all the services of a high class hotel. The rate is a bit high i.e abou TZS 80,000. They have a website too.
 
Ila naona hapa wakuu mnataja majina ya madanguro maarufu tu maana hamjataja kwa nini mdau aende huko na affordability yake.
Kuna motel moja ipo changanyikeni inaitwa Kilimani ambapo bei yake kwa mwezi asali haivuki buku 35. Na ipo mahala tulivu ina madhari ya mvuto na pia ina huduma bomba.

ndenda kaitembelee ukaikague kama inakufaaeni ila nenda na mwenzi wako maana ukiipenda na kumbe mwenzio haipendi mtalia honemoon kwenye gari
 
Hi members,

nategemea kufunga ndoa in two weeks time but pa kulilia fungate sijapata. nani anaweza kunisaidia mawazo ya mahali pazuri ambapo mtumishi wa serikali wa kati anaweza kuafford kama mimi?

Jaribu Salvation Army, vijumba vyao ni self conatine na gharama ni nafuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom