mjombajona
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 262
- 50
Wakuu naomba nijuzwe idadi ya majimbo ya uchaguzi Zanzibar kwa ujumla wake.
Population ya Zanzibar nasikia hawazidi milioni moja (naweza sahihishwa kwa hili), sasa kama kuna kuwa na majimbo mengi ya kugombea Ubunge basi hali ya kila mtu kuwa Mbunge au Mwakilishi ina tend kuwepo kwani kutokana na uchache wao nafasi zinaita watu hata wasio na sifa wanapitiamo.
Nazungumza haya niki refer Mkutano wa Bunge wa jana ambapo baadhi wa Waheshimiwa kutoka Zanzibar ilidhihirika kutokana na maelezo ya wenzao wa kutoka Tanganyika kuwa hata hawajielewi kwa nini wapo hapo Mjengoni, yaani hawaelewi wanapaswa kuzungumzia mambo ya Jamhuri ya Muungano, hii ilikuwa baada ya Wabunge wa Zanzibar kuwakemea eti wasizungumzie mambo ya visiwani kwa kuwa wao ni wa bara!
My take: Kwa nini majimbo ya uchaguzi Zanzibar yasipunguzwe tulete Bungeni watu wachache wenye sifa.