Nauliza: Tuna majimbo mangapi ya uchaguzi Unguja na Pemba?

mjombajona

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
262
50
Wakuu naomba nijuzwe idadi ya majimbo ya uchaguzi Zanzibar kwa ujumla wake.
Population ya Zanzibar nasikia hawazidi milioni moja (naweza sahihishwa kwa hili), sasa kama kuna kuwa na majimbo mengi ya kugombea Ubunge basi hali ya kila mtu kuwa Mbunge au Mwakilishi ina tend kuwepo kwani kutokana na uchache wao nafasi zinaita watu hata wasio na sifa wanapitiamo.
Nazungumza haya niki refer Mkutano wa Bunge wa jana ambapo baadhi wa Waheshimiwa kutoka Zanzibar ilidhihirika kutokana na maelezo ya wenzao wa kutoka Tanganyika kuwa hata hawajielewi kwa nini wapo hapo Mjengoni, yaani hawaelewi wanapaswa kuzungumzia mambo ya Jamhuri ya Muungano, hii ilikuwa baada ya Wabunge wa Zanzibar kuwakemea eti wasizungumzie mambo ya visiwani kwa kuwa wao ni wa bara!
My take: Kwa nini majimbo ya uchaguzi Zanzibar yasipunguzwe tulete Bungeni watu wachache wenye sifa.
 
Katiba inasemaje kuhusu hilo? Tume ya marekebisho ya katiba bado haijamaliza kazi
 
Tatizo lipo wapi kwani ,ni nini kazi ya mbunge kama si kulitetea jimboni kwake ? Ulitegemea utoke Mtwara ukaitee Mwanza ?
Unapokuwa na majimbo mengi ndipo ufanisi unapozidi ,Itabidi na Zanzibar wahoji kwanini mnajiongezea Mikoa ? Kwa upande wangu Tanganyika ilihitaji iwe na mikoa minne tu.Au Nchi ijigawe kuwepo na Nchi nne ,maan huu ukubwa uliopo tunashindwa kumshika hata mwizi wa rasilimali.
 
Sahihi kabisa,

Bunge la muungano linapaswa liwe na wabunge 10 tuu kutoka ZANZIBAR na wabunge 10 tuu kutoka BARA na lihusike na sheria na budget kwa yale mambo ya muungano tuu (hivi yapo mangapi mjombayona?). Kwa mambo yaliyobaki kila nchi iwe na bunge lake. Ukubwa ama udogo wa population is irrelevant. Kama una urge kwamba kwa kuwa population ya Tanganyika ni million 45 na population ya Zanzibar ni million 1, basi wabunge wa bunge la Muungano wawe kwenye ratio hiyo yaani 90 kutoka BARA: 2 kutoka ZANZIBAR, then you are either very clever or very stupid.

Niliwahi kumsikia mbunge mmoja wa CHADEMA ambaye ni learned brother sio layman kama mimi akileta hoja kama hiyo,- mambo geography na demography - nilishangaa.
 
Kaka hakuna majimbo huko ni uhuni tu wa kujipatia pay kupitia bunge,anyway ukipanda baiskel kila baada ya nusu saa utakuwa umetoka jimbo moja na kuingia lingine.
 
Katiba inasemaje kuhusu hilo? Tume ya marekebisho ya katiba bado haijamaliza kazi
asante kaka, lakini mi nilibase sana kwa jinsi wanavyoupata Ubunge kwa chee yaani kwa rate ya wako 1,000,000/60 majimbo = 16,667. walipaswa wapunguziwe majimbo ili angalau kwa wastani watu 30,000 kwa jimbo moja.
All in all hata hivyo Katiba mpya ndo suluhu.
 
Back
Top Bottom