Nauliza Tu...

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,700
Hivi kwa nini watu wanapenda wanapotembea kushikilia funguo za magari mikononi ilhali funguo za majumbani au ofisini mwao wanaziweka mfukoni au kwenye mikoba kama ni wanawake??
 
Ni kweli kwa baadhi ya watu/sehemu inaweza kutafsiriwa kama majigambo/kujionesha nk lakini kama upo sehemu ambayo almost kila mtu ana gari sioni kama inaweza kuwapa watu shida kivile!

Sababu zinaweza kuwa nyingi .....kwa mfano mimi nina funguo karibu sita pamoja na hiyo ya gari kwenye keyholder moja....sasa nikiweka mfukoni nahisi ule uzito wa funguo kama unaninyima raha hivi. So kama natembea nitashikilia mkononi, kama nipo sehemu nimekaa na kuna meza naweza kuweka mezani etc....naweka mfukoni kwa muda mfupi sana na ikiwa ni lazima kufanya hivyo.
 
Inategemea kuna wafanya hvo kwa sababu tena za mcng mfan alvosema mwanajami hapo ju kuw anaz nyng so analazmika kuzshka bt wengne ni kimauzo zaid
 
Hivi kwa nini watu wanapenda wanapotembea kushikilia funguo za magari mikononi ilhali funguo za majumbani au ofisini mwao wanaziweka mfukoni au kwenye mikoba kama ni wanawake??

Wana wakanya waliochoka!! Ha! Ha! Ha!
 
Hivi kwa nini watu wanapenda wanapotembea kushikilia funguo za magari mikononi ilhali funguo za majumbani au ofisini mwao wanaziweka mfukoni au kwenye mikoba kama ni wanawake??

Inaleta heshima, mimi mwenyewe huwa naning'iniza kwenye mkanda wa suruali
 
Hivi kwa nini watu wanapenda wanapotembea kushikilia funguo za magari mikononi ilhali funguo za majumbani au ofisini mwao wanaziweka mfukoni au kwenye mikoba kama ni wanawake??

Au ameshuka kwenye gari na anaharaka au anaenda kupanda kwenye gari! Mimi naweka kwenye pochi nikiingia ofisini na kutoa kabla sijatoka ofisini!
 
aiseeee wajapan wangekuwa wanelewa kiswahili wa wakatusoma humu mbona burudani...lol
 
Hivi kwa nini watu wanapenda wanapotembea kushikilia funguo za magari mikononi ilhali funguo za majumbani au ofisini mwao wanaziweka mfukoni au kwenye mikoba kama ni wanawake??
Kutafuta ujiko na kiukweli ni ushamba.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom