Nauliza tu: Tangu serikali imeanza kubana matumizi, umepata unafuu upi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,890
43,782
Hili ndilo la msingi hasa, hata kama matumizi yatabanwa mpaka watumishi wa umma wakashindia pumba na senene au nyasi then tusione unafuu wowote popote, then ubanaji huo unakuwa hauna mantiki katika uhalisia wa Maisha. Kwa waliopata unafuu.., mtujuze..
 
Tusubirie muda, Mh.Rais hata mwaka hajamaliza yapo mazuri aliyothubutu ambayo watangulizi wake kwa miaka 10 yote hawakuwahi kuyafanya yeye kathubutu kwa muda mfupi, na yapo ambayo ameteleza. Tumpe muda na zaidi tutambue Rais ni binadamu kama sisi, anakosea, anafanya vizuri pia kama sisi tunavyoweza kutenda katika maisha yetu ya kila siku.
 
kesho mwisho mitumba kuingia nchini, tutavaa nyuzi special tupu hadi kijijini ninakozaliwa mimi.
 
MIE BINAFSI NIMEPATA UNAFUU WA KUNUNUA UMEME KWA AJILI YA KUANGALIA BUNGO LAIVU....KIDOGO LUKU INAKAA UKILINGANISHA NA KIPINDI KILE UNAANGALIA BUNGE TOKEA ASUBUHI MPAKA SAA 6 USIKU.

ILA NAONA KAMA MUDA WA BANDO UMEONGEZEKA MAANA NATAZAMA BUNGE KUPITIA SIMU WABUNGE WAKIJIREKODI WANARUSHA WASUP NA MITANDAO YA KIJAMII.....

AHAHAHAHAHA.. KWELI KUBANA MATUMIZI KAMA KULINDA BAHARI...UNALINDA KOKO BICHI WENZAKO WANAVUA KIGAMBONI AU JAMBIANI ZENJI BAARR.
 
Hili ndilo la msingi hasa, hata kama matumizi yatabanwa mpaka watumishi wa umma wakashindia pumba na senene au nyasi then tusione unafuu wowote popote, then ubanaji huo unakuwa hauna mantiki katika uhalisia wa Maisha. Kwa waliopata unafuu.., mtujuze..
Mimi kuna nyumba ya kulala wageni nimekuwa nikifikia na siku hizi kuna unafuu wa bei!
 
Duuh labda umeme tu.. Ila kuanzia mawasiliano, gharama za misos especially sukari, gharama za huduma za kifedha ni mitihan mizito...
 
Hili ndilo la msingi hasa, hata kama matumizi yatabanwa mpaka watumishi wa umma wakashindia pumba na senene au nyasi then tusione unafuu wowote popote, then ubanaji huo unakuwa hauna mantiki katika uhalisia wa Maisha. Kwa waliopata unafuu.., mtujuze..
Nimepata unafuu wa kelele za walevi kunako mtaani kwetu.
 
Kawaulize wagonjwa waliokua wakilala chini Muhimbili nadhani wanalojibu zuri tu, au kwa wale watumiaji wa barabara ya Moroco to Mwenge baada ya kupanuliwa wamepata faida gani?
 
Kweli bongo kuna vilaza.. Yaani haya mabadiliko mnategemea yaanze kuonekana kesho?? Rais mwenyewe hata mwaka bado.. Nchi hii imejaa vilaza banaa ndo maana akina lissu wakiropoka pumba wanalinganishwa na Mandela.. Inatishaa.
 
Hili ndilo la msingi hasa, hata kama matumizi yatabanwa mpaka watumishi wa umma wakashindia pumba na senene au nyasi then tusione unafuu wowote popote, then ubanaji huo unakuwa hauna mantiki katika uhalisia wa Maisha. Kwa waliopata unafuu.., mtujuze..
Serekali ninayoitaka ni serekali ya viwanda kwahiyo ndugu zangu lazima tulipe kodi ili tupate fedha za kujenga viwanda.
 
Hili ndilo la msingi hasa, hata kama matumizi yatabanwa mpaka watumishi wa umma wakashindia pumba na senene au nyasi then tusione unafuu wowote popote, then ubanaji huo unakuwa hauna mantiki katika uhalisia wa Maisha. Kwa waliopata unafuu.., mtujuze..
Mkuu toa ushahidi wa watumishi kushindia pumba na senene!
 
Back
Top Bottom