Nauliza tu- nielewesheni tafadhali

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
wadau
Naombeni mnijuze ni nini mantiki ya hawa kina Majembe kujihusisha na usafiri mabarabarani hususani katika kuwadhibiti waendesha daladala? Je tuseme kuwa Traffick wameshidwa kazi yao au? Maana mimi sielewi
 
haswaa, hapo umenena, na hilo ndo jibu
Sasa kama ni hivyo kwa nini hawawajibishwi? Tunatakiwa kujua kwa nini wameshindwa wale ambao wamesomea fani hiyo then turekebishe otherwise tunaongeza gharama bure za kuwalipa majembe.

Swali 2: Na je hizo faini wanazolipishwa kina daladala za laki mbili hadi mbili na nusu- huwa zinapelekwa wapi kwa sababu inasemekana kuwa hata wakienda mahakamani hawatozwi faini kubwa kiasi hicho.
 
wadau
Naombeni mnijuze ni nini mantiki ya hawa kina Majembe kujihusisha na usafiri mabarabarani hususani katika kuwadhibiti waendesha daladala? Je tuseme kuwa Traffick wameshidwa kazi yao au? Maana mimi sielewi
nilikuwa na taipu ze same SREDI!.....:D
UMENIWAHI
 
wote mmeamkia upande mmoja wa kitanda, whast a coincidence!
Nilipokuwa maeneo ya kimara nakuja job...!nimeona kituko cha ajabu!...nimeona foleni na ukiukwaji mkubwa sana wa sheria...!zile mbwembwe za majembe na magari yao na matukutuku yao HAMNA KITU!...na kibaya zaidi ni kwamba traffic police ni kama ''wamejitoa''
....am telling you,IT'S A HELL OF LIFE!
 
Sasa kama ni hivyo kwa nini hawawajibishwi? Tunatakiwa kujua kwa nini wameshindwa wale ambao wamesomea fani hiyo then turekebishe otherwise tunaongeza gharama bure za kuwalipa majembe.

Swali 2: Na je hizo faini wanazolipishwa kina daladala za laki mbili hadi mbili na nusu- huwa zinapelekwa wapi kwa sababu inasemekana kuwa hata wakienda mahakamani hawatozwi faini kubwa kiasi hicho.

Nani amuwajibishe nani?Hao wanaopaswa kuwa wawajibishaji nao wameshindwa kuwajibika wanapaswa kuwajibishwa vilevile(may be kwa kura yako lakn........).
 
Sasa kama ni hivyo kwa nini hawawajibishwi? .
nnchi ya kitu kidogo, kila mtu anahangaika na kamuhogo kake, kila mtu anahangaika kujenga himaya yake kubwa kiuchumi, sasa ni mashindano ya kuomba na kupokea rushwa...kuanzia ngazi za juu za utendaji hadi kwenye nafasi ya mjumbe wa nyumba kumi...aah WACHA BANA
 
Mimi nadhani kazi wafanyayo majembe ni kazi ya Licensing Authority [SUMATRA] kwani kazi ya polisi ni kuhakikisha sheria za usalama barabarani zinafuatwa na Sumatra kazi yao ni kuhakikisha kuwa kanuni pamoja na masharti ya leseni kwa magari ya abiria zinafuatwa.
Nafikiri Sumatra hawana wafanyakazi wa kutosha kusimamia baadhi ya shughuli zake hivyo wame-contract out kwa majembe ambao most probably wanakuwa kama commission agent [hulipwa asilimia fulani ya mapato yatokanayo na shughuli walizopewa] Hili ni jambo la kawaida katika dunia hii kwani it is more cost effective kuliko kuajiri.
 
Back
Top Bottom