Nauliza tu mwenye jukumu la kununua mabasi ni serikali kuu au chuo kikuu?

kubwa jinga jr

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
292
309
Amani kwenu wanabodi

Ndugu waungwana kidogo juzi nilitatizika

kwenye hotuba ya mh raisi chuo kikuu nilimsikia akimuomba mkuu wa chuo kikuu arudishe huduma ya mabasi japo kwa kuanzia waanze na mabasi matano naona mabasi matano ni mengi kulingana na gharama za manunuzi kwa hivi sasa

Nauliza ni nani mwenye jukumu la kununua hayo mabasi ni chuo au serikali

kipindi cha nyuma kidogo nilikuwa nafurahishwa na raisi akishasema kitu anatoa mchango wake wa papo kwa papo naona juzi alikula bati hakutoa hata mbuni alipotoa hilo ombi lake la mabasi au ndio majukumu yamezidi

ni hayo tu siasa hakuna mpaka 2020
 
ikiwa la chuo kuna shida gani?

unataka aseme la serikali kisha uanze kulia kuwa mbona vyuo vingine hawana

nyuma ya uzi wako, unatafuta la kusema
 
Back
Top Bottom