edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,874
- 9,671
Sasa wanataka watu wenye ngapiBest angu ana points 8 katemwa kote uko
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wanataka watu wenye ngapiBest angu ana points 8 katemwa kote uko
System itakutema! Nenda kabadilishie chuoniNasubiri jibu la hili swali
Hata sasa wanapata sana!Vijana siku hizi mnapata tabu sana. Enzi zetu hata div three tulipata admission
Unqtafta balaa jingneJe nikitaka cancel admission Ili nifanye 2nd round Inawezekana?
Huwezi pata ukiwa na 9 labda kuanzia 5Ningependa kujua kama kuna yeyote aliyechaguliwa kusomea udaktari huku akiwa na pointi 9.