Nauliza swali watanzania wenzangu tunakata Rais wa aina gani Katika nchi?

Seif Kazige Mbambizi

Senior Member
May 7, 2016
135
92
Sio kusudio langu kufukua makaburi, hapa waungwana nahitaji kupata mtazamo wenu juu ya Rais anaefaa kuongoza nchi yetu. Wadau ni aina gani ya kiongozi ambae akipatikana wote tutasema huyu ndie tuliekuwa tukimsubiri kwa muda mrefu?
 
Mtenda haki
Asiye mdini
Mwenye Kulinda katiba aliyoapa kwayo
Asiye Fisadi
Mvumilivu
Mwenye kuheshimu misingi ya Utawala bora
Mwenye vision lakini anatambua limitations za jamii yake
Mzalendo
Mwenye hekima na Busara
Anayechukia ubadhirifu wa mali za umma
Asiyependa visasi na ubwana mkubwa
Asiyeogopa hoja nzito
Awe kiongozi asiwe Nyapara
Asiwe Dikteta
Awe anapima uzito wa maamuzi yake, siyo kuumiza watu​
 
Kwa ulimwengu huu wa manyang'au!?
 
If Jesus wasn't "The Best" to every human being, who on earth would be?

The notion of satisficing is germane to the question. "Good Enough" is all we need. Whoever is elected meets the "Good Enough" test, at least at the time of election!
 
ATOKANE NA TUME HURU YA UCHAGUZI. HUYO NDIYO ATAKUWA RAIS WA UKWELI. YOTE HAYA NI SABABU YA KATIBA ILIYOPITWA. HATA MIMI NIKIWA RAIS KWA KATIBA HII LAZIMA NITACHUKIWA, AU KUBEZWA.
 
Mtenda haki
Asiye mdini
Mwenye Kulinda katiba aliyoapa kwayo
Asiye Fisadi
Mvumilivu
Mwenye kuheshimu misingi ya Utawala bora
Mwenye vision lakini anatambua limitations za jamii yake
Mzalendo
Mwenye hekima na Busara
Anayechukia ubadhirifu wa mali za umma
Asiyependa visasi na ubwana mkubwa
Asiyeogopa hoja nzito
Awe kiongozi asiwe Nyapara
Asiwe Dikteta
Awe anapima uzito wa maamuzi yake, siyo kuumiza watu​

Hoja hizi ulizoziorodhesha hapa zinaweza kuchukuliwa kama fyokofyoko na kikwazo cha kuwaletea wafuasi wa dini ya #HapaKaziTu maendeleo,ukizitathimini kwa kina zote ulizoziorodhesha zinakosekana kwa kiongozi wa "kiroho" wa #diniyetu,mtakatifu wa watakatifu.
 
Watanzania kwa tabia ya kulalama hakika tunahitaji dikteta kama hayati Ghadaffi, no vyama vingi no media no kuhoji chochote, labda tutaheshimiana.
 
ATOKANE NA TUME HURU YA UCHAGUZI. HUYO NDIYO ATAKUWA RAIS WA UKWELI. YOTE HAYA NI SABABU YA KATIBA ILIYOPITWA. HATA MIMI NIKIWA RAIS KWA KATIBA HII LAZIMA NITACHUKIWA, AU KUBEZWA.

Mkuu, kama unadhani kuna aina ya Katiba itakayomfanya Rais asichukiwe au juhudi zake zisibezwe, fikiria tena! Kumbuka kila anayechaguliwa ana less than 100% voter acceptance, from the beginning!
 
Tunamtaka mwenye uwezo wa kutoa elimu bure had chuo kiku Bila kukusnya kodi
Awe nauwezo wa kuondoa nyumba za nyas ndani ya siku 100 kwamuijiza wa bila kukusnya kodi
Awe na uwezo wa kubadil system iliyopo bila kumtumbua mtumish yeyote
 
Back
Top Bottom