Nauliza swali nani mwenye wivu sana mke au mume?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
NAPATA%2BTABU.jpg
 
Wanawake tuna wivu sana japokuwa sisi hatulindi kwa bunduki lakini mbinu zetu ni kali zaidi (usimwage kuku penye mchele mwingi)
 
Utakuta mwanaume anatoka job sa 10 lakini home anafika sa 4-5 na mkewe anampokea vizuri na kumpa vyakua aina zote lakini mke akitoka kazini sa 10 akafika nyumbani sa 2 utazuka ugomvi wa hatari na huenda akala kichapo hivyo %kubwa ya wenye wivu zaid ni WANAUME
 
Back
Top Bottom