Nauliza swali 60 inch LED Samsung Shillingi ngapi bongo?

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Black Friday nilifanikiwa kuopoa 3 .sasa Huko bongo zanauzwaje?nitawashikuru.nina ship for 200 dollar per Tv
 
Kama source yako ni Marekani...ni kwamba tv system ya USA haiko compatible na ya TZ!
 
Kama source yako ni Marekani...ni kwamba tv system ya USA haiko compatible na ya TZ!
Nadhani watu wengi hii kitu huwa hawaielewi, nadhani USA wao wanatumia system ya NTSC, wakati bongo ni PAL. Suala la voltage nalo saa ingine linakuwa ishu, bongo tunatwanga na 240V wakati USA wanatumia 110V labda hizo TV ziwe na voltage selector switch. Frequency bongo ni 50HZ, wakati USA ni 60HZ. Resolution: Tanzania's standard definition is 576 interlaces lines while US resolution is 480i.
 
mbona hamjajibu swali lake Natalia? Kauliza bei kwa bongo. Kwa uzoefu wangu, Samsung Led Tv ya 42" inauzwa kati ya 2.0m na 2.4m katika maduka mengi niliyouliza. Kwa hiyo 60" inaweza kuwa 3.5m or so! Sikununua Samsung kwa sbb niliegemea zaidi kwenye Bravia
 
Last edited by a moderator:
Nadhani watu wengi hii kitu huwa hawaielewi, nadhani USA wao wanatumia system ya NTSC, wakati bongo ni PAL. Suala la voltage nalo saa ingine linakuwa ishu, bongo tunatwanga na 240V wakati USA wanatumia 110V labda hizo TV ziwe na voltage selector switch. Frequency bongo ni 50HZ, wakati USA ni 60HZ. Resolution: Tanzania's standard definition is 576 interlaces lines while US resolution is 480i.
TVs karibu zote siku hizi ni multisystem na voltage zinakuwa 110 to 240 kwa hiyo kitu na boksi.
 
mbona hamjajibu swali lake natalia? Kauliza bei kwa bongo. Kwa uzoefu wangu, samsung led tv ya 42" inauzwa kati ya 2.0m na 2.4m katika maduka mengi niliyouliza. Kwa hiyo 60" inaweza kuwa 3.5m or so! Sikununua samsung kwa sbb niliegemea zaidi kwenye bravia

uwongo
 
Back
Top Bottom