Nauliza nape ametumwa na nani na je anajenga au anaua ataweza kukausha bahari ya ufisadi ccm

mpopo

New Member
May 3, 2011
2
0
Ninashangaa sana kabwana mdogo kametoka masasi kameibukia dodoma, ccm kuna bahari ya ufisadi Nape anakuja na dekio na ameanza kunywea mara ooo hatukutoa siku tisin mara ooo hatuna majina sasa yatakutokea puani mtoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom