Nauliza Maswali Mawili tu.

MZIMU

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
4,057
1,371
1. Watanzani na Wakenya, wapi wanaishi maisha ya Msoto zaidi katika maisha ya kila siku?.

2. Katika Afrika Mashariki na Kati, ni nchi gani wanaisha maisha mazuri ya kila siku?.

1. Watanzani na Wakenya, wapi wanaishi maisha ya Msoto zaidi katika maisha ya kila siku?.

2. Katika Afrika Mashariki na Kati, ni nchi gani wanaisha maisha mazuri ya kila siku?.

Kenya maisha ni magumu na ya kusota mno.Kukuta mtu ana degree mbili anaendesha matatu (dala dala) si kitu cha ajabu.Kazi shida,ardhi shida kwa ujumla maisha ni taabu sana.Kuishi Kenya si tu uwe na akili unabidi uwe na watu wa kabila yako wenye nafasi wa kukusaidia.Ukiwa huna kuishi Kenya shughuli pevu.Tofauti na Tanzania mtu kutoka popote aweza kwenda popote akaanza maisha na yakaenda.

Maisha mazuri ambayo ni stress free yako Tanzania.Kenya unahitaji kuwa na vidonge vya kupunguza stress full time ikiwezekana kwenye mifuko.
 
Kenya maisha ni magumu na ya kusota mno.Kukuta mtu ana degree mbili anaendesha matatu (dala dala) si kitu cha ajabu.Kazi shida,ardhi shida kwa ujumla maisha ni taabu sana.Kuishi Kenya si tu uwe na akili unabidi uwe na watu wa kabila yako wenye nafasi wa kukusaidia.Ukiwa huna kuishi Kenya shighuli.Tofauti na Tanzania mtu kutoka popote aweza kwenda popote na akaanza maisha na yakaenda.

Maisha mazuri ambayo ni stress free yako Tanzania.Kenya unahitaji kuwa na vidonge vya kupunguza stress full time ikiwezekana kwenye mifuko.
Nakubaliana na wewe mkuu
 
isti afrika hatupishani xana, ni ngumu kujivuna hapa, lakini kwa mfumo sisi tunakula bata
 
1. Watanzani na Wakenya, wapi wanaishi maisha ya Msoto zaidi katika maisha ya kila siku?.

2. Katika Afrika Mashariki na Kati, ni nchi gani wanaisha maisha mazuri ya kila siku?.

maoni yangu binafsi kat ya wakenya na wabongo,sisi wabongo tumezid kwa msoto,wenzetu uchumi uko imara zaid yetu kwaio hata panya wakitafuna pesa wananchi hawaumii sana ukilinganisha na hapa panya mmoja(fisadi),akitafuna watu wanalia mwaka mzima,ila maisha mazuri waganda ndo wanaish
 
Waganda wanaoishi vizuri uganda ni wale wanaotoka eneo analotaka Museveni Huko kwingine ni balaa wasikusikie wenyewe!
 
maoni yangu binafsi kat ya wakenya na wabongo,sisi wabongo tumezid kwa msoto,wenzetu uchumi uko imara zaid yetu kwaio hata panya wakitafuna pesa wananchi hawaumii sana ukilinganisha na hapa panya mmoja(fisadi),akitafuna watu wanalia mwaka mzima,ila maisha mazuri waganda ndo wanaish

epuka na usiamini maneno ya watu mitaani.

uchumi wa kenya ulio imara ni uchumi mkubwa wa serikali-wa kwenye makaratasi na familia chache za akina Kenyatta and Co
uchumi wa mtu wa kawaida hali ni mbaya sana kenya bora TZ mara elfu....ndiyo maana wanalilia ardhi yetu waje wajenge waishi huku. Nenda kenya ukaone, utatamani urudi TZ saa hiyo hiyo.

Kenya hata vijijini kumiliki ardhi ya robo heka unaonekana tajiri milionea, jiulize kijijini kwenu hali ikoje.
 
Kenya hali ngumu sana ndo mana wakenya hata roho na utu wao ni wa mushker
 
1. Watanzani na Wakenya, wapi wanaishi maisha ya Msoto zaidi katika maisha ya kila siku?.

2. Katika Afrika Mashariki na Kati, ni nchi gani wanaisha maisha mazuri ya kila siku?.

Nimeish mombasa miaka 2. Maeneo ya kisauni. Kaka tz kuna life tamu mnooooo, kuna kijiji tulikwenda kupitia rombo lakin kwa upande wa Kenya ni balaaa kule hata viatu ni hanasa
 
Nini Kenya mara Tanzania, India ndio kiboko serikali imeshindwa vita vya kumaliza chawa kwa raia wake. Nesi hospitalini anamuhudumia mgonjwa huku chawa wanapishana kichwani.
 
Nimeuliza hili swali ndugu zanguni, kwa sababu nilipata bahati ya kukutana na waheshimiwa flani wa kenya ambao walikuja hapa TZ, kwenye vikao vya Afrika mashariki, ilitokea waka vunja sheria flani za hapa kwetu. Sasa wakati taratibu za kuandikia faini zikiendelea walisikika wakisema, " NDIO MAANA NCHI YENU MASIKINI SANA". Mimi nilikua pembeni, nilishangaa na kutabasamu.

Walikuja na Bus linaloitwa SOUTHERN SKY.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom