Nauliza mahali zilipo ofisi za Social Security Regulatory Authority hapa Dar es Salaam

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
281
66
Wakuu naulizia kama kuna mtu anafaham mahali zilipo ofisi za Social Security Regulatory Authority hapa Dar es Salaam
Natanguliza shukrani
 
Mkuu kheri ukaipost au drop kwa email kama kuna option iyo
Iyo hand delivery wenye vijiba wataiweka kampuni kwa kuangalia mwonekano tuu!
 
kati ya victoria na moroko!jengo la lowasa alpha house!

Kama unatoka kinondoni ,panda magari ya mwenge , then shuka moroco, nenda na upande huo ulishukia kuna sheli, fuata barabara ya bagamoyo. mita 200 mbele mkono wa kushoto kuna jengo la Alpha, ndipo zilipo office zao, wapo jengo moja na Barclays.!
 
Hivi zile nafasi za kazi walizotangaza mwezi huu, tarehe ya kutuma maombi ni lini
 
Nashukuru kwa maelekezo wote mliochangia
Ni kweli napelekea application yangu kwa moja ya nafasi walizotangaza
Muda naona umekwisha otherwise ningetuma kwa post kama jamaa kadhaa walivyoshauri
 
kama unatoka kinondoni ,panda magari ya mwenge , then shuka moroco, nenda na upande huo ulishukia kuna sheli, fuata barabara ya bagamoyo. Mita 200 mbele mkono wa kushoto kuna jengo la alpha, ndipo zilipo office zao, wapo jengo moja na barclays.!
safi sana!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom