sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
kuna watu msipomtaja pengo au katoliki hamwezi kupumua eeeh?
We waache naona mpaka tuwabatize ndio watashika adabu.
kuna watu msipomtaja pengo au katoliki hamwezi kupumua eeeh?
Ndugu wanaJF napenda kufahamu kwa nini taasisi ya Agakhan inapewa misamaha ya kodi hapa nchini kwetu. Nina uliza kwa sababu huduma za Agakhan mfano hospital za Agakhan ni ghali kuliko hospitali zote hapa nchini. Mfano mtoto mdogo wa wiki moja ukimpeleka Agakhan ili alazawe lazima uweke deposit ya laki tano za Tanzania ndiyo apewe huduma ya matibabu. Kumwona daktari ni elfu Ths 40,000-70,000. Shule za Agakhan ada zake nazo zipo juu kulinginishwa shule zingine za binafsi. Je kwanini wapate misamaha ya kodi? Je wanastahili kupewa misamaha ya kodi?
Wazo zuri ili tusikie kutoka Serikalini officially.
Maana yake ni wengi tusioelewa pia katika kifungu cha 11 cha mkataba wa MoU kinaposema:
Serikali ni lazima itoe nafasi za ajira katika vyuo vyake vya Ualimu (TTC) kwa wanafunzi wa Kikristo kufundisha watu wataofuzu kama Walimu kwa ajili ya shule za Makanisa zilizoanzishwa"
Kwa nini iwe ni kwa Wakristo na Kanisa tu? huoni kuwa inajenga matabaka ya walio juu na chini?
Suala la misaada kufuatana na MoU: Kwa nini wahisani waombwe na Serikali kulichangia Kanisa tu huku watu wa dini nyingine waachiwe kujitafutia wenyewe? na hata pale wanapofanikiwa kupata wafadhili mfano OIC wanapigwa chini?
Kwa nini Wakristo wapewe uhakika wa kutotaifishiwa taasisi zao (kufuatana na MoU) huku watu wa dini nyingine wakiishi bila ya uhakika wa kutotaifishiwa taasisi zao?
Kivyovyote vile tunahitaji majibu ya kiserikali.
.
Ndugu wanaJF napenda kufahamu kwa nini taasisi ya Agakhan inapewa misamaha ya kodi hapa nchini kwetu. Nina uliza kwa sababu huduma za Agakhan mfano hospital za Agakhan ni ghali kuliko hospitali zote hapa nchini. Mfano mtoto mdogo wa wiki moja ukimpeleka Agakhan ili alazawe lazima uweke deposit ya laki tano za Tanzania ndiyo apewe huduma ya matibabu. Kumwona daktari ni elfu Ths 40,000-70,000. Shule za Agakhan ada zake nazo zipo juu kulinginishwa shule zingine za binafsi. Je kwanini wapate misamaha ya kodi? Je wanastahili kupewa misamaha ya kodi?
Mkuu utajiuliza mengi! iweje Serikali itoe 54% ya bajeti ya Wizara ya Afya kwa Makanisa peke yake? kwa nini iwe Kanisa tu na si taasisi nyinginezo za dini nyinginei? vipi Kanisa liwachiwe kuendesha Mahospitali yake kibiashara kwa pesa ya walipa kodi huku Serikali isiambulie chochote katika faida? vilevile Serikali inazidi kupoteza katika misamaha ya kodi ya Hospitali hizohizo? Serikali imezidiwa kitu gani na Kanisa? kwa nini Kanisa liweze Serikali ishindwe?
Ni maoni yangu kuwa Mbatia hakujibiwa kwa kuogopwa hili suala lingefikia kuhojiwa upewaji wa makanisa mabilioni ya pesa za Watanzania.
Ni wakati muwafaka sasa kwa hayo uliyouliza na hili la Makanisa Serikali iwapatia jibu walipa kodi.