Nauliza kufahamu: Wale wezi wasio na kibali nchini (Acacia) bado wanachimba au bado wanaiba?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,457
2,000
Hawa wezi wa taifa hivi bado wanachimba madini na kusafirisha au wamesimama kama kininikia?

Kama hawana usajili, hawana kibali, wanachimba tu na kusafirisha kasoro makinikia nini maana yake?
Je niwezi kama tunavyoaminishwa? Je utamwacha mwizi aendelee kuiba na anaiba sio halali yake?

Nini kigugumizi cha kumfungashia virago mwizi huyu?

Je ni mwizi au sio mwizi?
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,677
2,000
USHAAMBIWA WALE SIO WEZI NI THIEVES.KUNA TOFAUTI KUBWA SANA YA MANENO HAYO.
 
Anold

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,457
1,500
Hawa wezi wa taifa hivi bado wanachimba madini na kusafirisha au wamesimama kama kininikia?

Kama hawana usajili, hawana kibali, wanachimba tu na kusafirisha kasoro makinikia nini maana yake?
Je niwezi kama tunavyoaminishwa? Je utamwacha mwizi aendelee kuiba na anaiba sio halali yake?

Nini kigugumizi cha kumfungashia virago mwizi huyu?

Je ni mwizi au sio mwizi?
Wezi hupelekwa mahakamani. Mimi nasubiri hizo trilion tulizo elezwa kuwa tumeibiwa kutoka 1998 zilipwe hapo nitajua kuwa Tanzania sasa sio sehemu ya uswahiliswahili.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom