nauliza jinsi ya ku update software azam tv

nickrill250

Member
Feb 13, 2013
7
3
habari wadau, naulizia jinsi ya ku update software ya decoder ya azam.. asubuhi ya leo nliona wamepitisha hilo tangazo kwny azam 2 ila kuna details zikanipita. so kwa yoyote mwenye ufahamu na hilo atujuze.
 
Mara nyingi kama kuna update. Itakuletea notice ndipo utakubali nakufanya update.
 
Mara nyingi kama kuna update. Itakuletea notice ndipo utakubali nakufanya update.
kwa maelekezo waliotoa.. ipo update mpya ambayo haiji automatic ila unaidownload mwnyw kwa kuanza na kupress menu the 0,1,2 inakuletea menu ya software utaenda mpk kwny OTA. sasa zile details za ndani ndo kua ambazo nilimiss kurecord ila una update kwa style hyo.
 
1481443849881.jpg
Toa hela nikuelekeze
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom