Nauliza:Je hivi vyuo vya kati vya ufundi ambavyo vimesajiliwa na VETA ni sahihi mwanachuo kuandikwa ripoti na kuipeleka kwa mzazi??

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Kama mada inavyojieleza

Naomba kuuliza huu ni utaratibu sahihi kwa chuo hasa hivi vilivyosajiliwa na VETA hasa vile vinavyofundisha masomo ya hotel na utalii kila chuo kinapofungwa mwanachuo kupewa ripoti ya masomo yake na kumpelekea mzazi kama wanavyofanya sekondari?

Naomba mnijuze kama utaratibu huu unafaa kwa level ya chuo au haufai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna client mmoja alikuwa amehitimu VETA nilikuwa napiga nae story juzi kati akaniambia kuna hadi parade kwa baadhi ya course na kufanya usafi Wa maeneo.....
 
Back
Top Bottom