Nauliza hiviiiii kuna haja ya kuwepo chombo hiki cha serikali?

Matokeo1

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
231
42
Hihii tume ya utumishi ya ajira sina imani nayo ndugu zangu, naona yule mshikaji corruption yupo kabisa, maana mchakato wa interview na kufaulu wengi wanaopata zile nafasi zenye maziwa na asali ni watoto wa washua tu, sisi watoto wa wakulima ni maafisa kata, watendaji wa vijiji, tena upate kwa mbinde, na utazipata pale watoto wa kishua wanapozikataa. da!
 
ndo ivyo mwana, km vip tuombe membership ktk koo zao tupate kazi alafu badae tuwatose

hah hah hah,,,ununue jina la ukoo kwa mda ili upate ajira.
haya nash koba, ungeachagua ukoo upi ambao unadhani kwa kutumia jina hilo wala huitaji tena kimemo?
 
Last edited by a moderator:
Uongo mtupu huu. Sio lazima uanzishe topic yako humu JF, naona unalazimisha mambo
 
Hihii tume ya utumishi ya ajira sina imani nayo ndugu zangu, naona yule mshikaji corruption yupo kabisa, maana mchakato wa interview na kufaulu wengi wanaopata zile nafasi zenye maziwa na asali ni watoto wa washua tu, sisi watoto wa wakulima ni maafisa kata, watendaji wa vijiji, tena upate kwa mbinde, na utazipata pale watoto wa kishua wanapozikataa. da!
we huna vigezo acha majungu
 
Uongo mtupu huu. Sio lazima uanzishe topic yako humu JF, naona unalazimisha mambo

Kaka inaelekea we ni mgeni wa TANZANIA hii laiti ugejua jinsi kazi zinavyotolewa kwa kujuana, na undugu usinge ongea hivyo, hata wengi walioko makazini ukiwauliza ulipataje hii kazi utasikia ni (mchongo tu kaka) we kama umesoma chuo na watoto wa vigogo hebu waulizie wako wapi na wanafanya nini then tupe jibu.
 
Sintashanga sana kwa jibu lako maana kwa sisi wabongo tunategemea sana riport kama zile za mauaji ya mwandishi wa chanel teni.
 
Ukitaka kupata badilisha jina.....waweza jiita Matokeo Membe au Matokeo Lowasa au Matokeo Tibaijuka..utapata tu hapo hata kama interview umefeli
 
acha uongo na majungu!
kama ujapata kazi! endelea kusubiri zamu yako ifike sio kulalama na kulaani watu!
ata mungu apendi! yaani sisi kila siku tu tunalalamika watoto wa vigogo!
hii inaweza kusababisha sisi kukusa kazi sababu ya kulaani watu wasiousika kutukandamiza
 
huyu jamaa anajiita Obama wa Bongo anafanya kazi seretariat ya ajira ndo maana topic yeyote yenye ukweli ya upendeleo unaofanywa na hii taasisi hutoka mabovu kwa kuitetea. Kijana gan? Usionea huruma watanzania wenzako? Ukishiba angalia wengine wenye njaa wasiokuwa na fursa
 
Kaka inaelekea we ni mgeni wa TANZANIA hii laiti ugejua jinsi kazi zinavyotolewa kwa kujuana, na undugu usinge ongea hivyo, hata wengi walioko makazini ukiwauliza ulipataje hii kazi utasikia ni (mchongo tu kaka) we kama umesoma chuo na watoto wa vigogo hebu waulizie wako wapi na wanafanya nini then tupe jibu.

Usibadilishe mada, hoja yako ya msingi inasema hivi "Hihii tume ya utumishi ya ajira sina imani nayo ndugu zangu, naona yule mshikaji corruption yupo kabisa, maana mchakato wa interview na kufaulu wengi wanaopata zile nafasi zenye maziwa na asali ni watoto wa washua tu, sisi watoto wa wakulima ni maafisa kata, watendaji wa vijiji, tena upate kwa mbinde, na utazipata pale watoto wa kishua wanapozikataa. da!"

Ni kweli ajira Tz ni za kujuana lakini si kwa staili hiyo uliyoandika hapo kwenye red. Kwingine ila sio tume ya ajira. mimi nawafahamu wengi wametoka kupitia tume ya ajira na si vogogo wala watoto wa vigogo. Ila ni bright tangu shule
 
Me mwenyewe nasubira zamu yangu na sina presha!.
Najiandaa kisawasawa kwa usaili....
 
acha uongo na majungu!
kama ujapata kazi! endelea kusubiri zamu yako ifike sio kulalama na kulaani watu!
ata mungu apendi! yaani sisi kila siku tu tunalalamika watoto wa vigogo!
hii inaweza kusababisha sisi kukusa kazi sababu ya kulaani watu wasiousika kutukandamiza

wewe ni sisimu halafu ni mtoto wa kigogo mm nakufahamu a mpaka z
 
wewe ni sisimu halafu ni mtoto wa kigogo mm nakufahamu a mpaka z

Hata mimi nashindwa kumwelewa mkuu, maana hii tume wangekua wazi ili tuwaamini zaidi, wangetoa shortlist yote ya nafasi zote walizotangaza kisha waanze kuwaita kwa makundi kama wanavyoita sasa, hapo tungejua tunasubiria kwa interview au lah! maana tunakonda kwa kusubiria kitu ambacho hatujui hatima yake, inatesaga sana.
 
jamani saa nyingine tunalishana ujinga kwa kupenda majungu na chuki binafsi sasa tukipata pa kupumulia basi tunamwaga sumu kibao, hivi kweli kwa sie tulioko dar es salaam ni wangapi tumewahi kwenda kwenye ofisi zao kuuliza A, B, C na kukosa majibu ya kuridhisha kabla hatujaja huku kwenye mitandao ya kijamii? sasa naomba niwaambie pale kuna kitengo cha mawasiliano serikalini na moja ya kazi ya kitengo hicho ni kuwasaidia watu wanaotafuta kazi serikalini kupata taarifa sahihi wakati wote na kama hatuwezi basi waandikie hoja zako watakujibu kwani nimeona katika magazeti mbalimbali hata yale yasiofahamika sana mimi wiki mbili zilizopita niliona majibu ya hoja kwenye gazeti la changamoto kama walivyoweka kufanya mahojiano na katibu wa tume hiyo, pia kwenye mtandao wao wamekuwa wakitoa majibu mbalimbali. kwa kusaidia nimeuliza anwani kama una hoja na unapenda kupata majibu kwa haraka bila kupitia njia ya malalamiko tumia gcu@ajira.go.tz watakujibu kwani mimi wamekuwa wakinijibu kila swali nililouliza kwenye kitengo hicho, ukishindwa watembelee pale maktaba kuu ya taifa wako gorofa ya pili kama sikosei, ni haki yako ila usijekwenda usiku au alfajiri au jumamosi na jumapili alafu ukasema nimekuta pamefungwa chunguza masaaa ya kazi.
 
aahaaaaa unachekesha mkuu ! ila ni kweli...............mimi mtoto wa kigogo wa chadema! mzee ni mjumbe wa kata/tawi la ngurdotosombetini ,wilaya mjini magharibi mkoa wa kaskazini ungujaata mimi pia nakufahamu situlikuwa wote sua 2005 na tuliishii pamoja mabibo hostelvp? ulishapata kazi maana ile course yako ya bcom engeneering in mass communication! ilikuwa markertable sana enzi zile!
 
huyu jamaa anajiita Obama wa Bongo anafanya kazi seretariat ya ajira ndo maana topic yeyote yenye ukweli ya upendeleo unaofanywa na hii taasisi hutoka mabovu kwa kuitetea. Kijana gan? Usionea huruma watanzania wenzako? Ukishiba angalia wengine wenye njaa wasiokuwa na fursa

Na kwsbb yy kapata bila kuhangaika,ndo maana anatetea...angekua amekaa mtaani km wengine hapa,imagine since 2010,hata hyo interview kuitwa bahati.....asingesema
 
acha uongo na majungu!
kama hujapata kazi! endelea kusubiri zamu yako ifike sio kulalama na kulaani watu!
hata mungu hapendi! yaani sisi kila siku tu tunalalamika watoto wa vigogo!
hii inaweza kusababisha sisi kukusa (kukosa) kazi sababu ya kulaani watu wasiousika kutukandamiza

Obama wa Bongo kama umeshaajiriwa shukuru Mungu lakini kweli pale TaESA pana mambo pale. Yule mteuliwa ni swahiba wa mteua kwa hiyo lazima ajaze watoto wa HIGH TABLE.
Kisha nimegeuka mwalimu kidogo kwenye mada yako hapo juu angalia herufi hizo nyekundu.
 
Back
Top Bottom