Nauliza:Hivi Zanzibar kuna Mbuga gani ya Wanyama?

KennedyMmari

JF-Expert Member
Dec 12, 2012
979
183
Huku kwetu Tanganyika kuna mbuga za kila aina,zimesheheni wanyama wa kila aina,Kwa idadi Ndo usiseme.Hivi kule zanzibar kuna mbuga zipi na zina wanyama gani??
 
Hakuna Mbuga Zenji Bali kuna vijipori vidogo(misitu)kuna vinyani Fulani hv wanadai havipatikani popote dunia .watalii huenda huko kufuata fukwe za Bahari na kutizama uoto wa asili kidogo .siku wakijitenga na Kuwa Nchi Jilani tatawauzia twiga simba swala nyati nk wawe na mbuga ndogo ndogo Kama za pale Nairobi Kenya .
 
Huku kwetu Tanganyika kuna mbuga za kila aina,zimesheheni wanyama wa kila aina,Kwa idadi Ndo usiseme.Hivi kule zanzibar kuna mbuga zipi na zina wanyama gani??

Baba wa muungano ni Tz Bara kumbuka jina la Tanzania jina la baba wa muungano yaani Bara hivyo ujue Kuwa japo huku ni Tanganyika lakini jina la ubatizo ni Tanzania na jina hili asili yake ni huku bara tu na ikitokea Zanzibar akajitenga ! Yeye ataitwa Zanzibar na Sisi bara tutabaki na jina letu la Tanzania kuondoa mkanganyiko UN
 
Back
Top Bottom