Nauliza, hivi SADC wamewahi kufanikisha nini kwa mwananchi wa kawaida katika ukanda wanaousimamia

Hahaha hukuwasikia wanasema wame promote kiswahili?! As if tunalipwa mtu akiongea. Na Makonda anauza vinyago, what else?!
 
Soma 1997 SADC Protocol on Education and Training halafu ulizia wanafunzi wa kitanzania wanaosoma vyuo vikuu nchi za SADC wanalipa ada kiasi gani ukilinganisha na wanafunzi wanaotoka nchi zisizo mwanachama wa SADC
 
Where can I get that doc? post for me if you have one. Anyway, I am more informed, if not knowledgeable of what is going on in EU rather than SADC!

Prelude: Nimeiona protocol. On quick perusal, I am unable to identify from the doc amount of funding say for students at leat at University level.... specifically stated and how to access the funds

Hivi ndizo zile University za kama Mandela University of Science and technology ya Arusha? Zile ni za hovyo kabisa, zinafanya research za surveys eti ndiyo science and technology kuzifikia nchi za magharibi (za mabeberu as you call them)
 
Tafiti nyingi za Bongo ni nyepesi kama karatasi
 
Hawapo juu ya sheria ila hawajui sheria, hawajui wajibu wao na haki za raia
 
Soma 1997 SADC Protocol on Education and Training halafu ulizia wanafunzi wa kitanzania wanaosoma vyuo vikuu nchi za SADC wanalipa ada kiasi gani ukilinganisha na wanafunzi wanaotoka nchi zisizo mwanachama wa SADC
unaacha kusoma kwenye nchi za maana unaenda kusoma nchi masikini za SADC !
 
Mwenye jibu anisaidie niweze kuielewa vema SADC in terms of its material well-being delivery to their respective poor populations
Mbona bado hawajamaliza mzunguko wa wenyeviti? Wakimaliza huenda wataanza kuwakumbuka wananchi,Afrika Kusini walikuwa wakimficha Bashir lakini wasudani wamewaumbua viongozi hao, nasikia iko nyingine inaitwa AU hii sijui inauza nini sokoni.
 
Umemaliza kazi, basi!
 
Back
Top Bottom