Nauliza "Cheapest Call to Tanzania" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauliza "Cheapest Call to Tanzania"

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Baba Mkubwa, May 8, 2010.

 1. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndugu Wana JF,

  Nimekuwa natumia kupiga simu nyumbani Tanzania kutoka huku niliko (Finland) kwa kupitia intervoip na nikahamia actionvoip. Kuhama kwangu kulitokana na gharama kupanda. Kwasasa hata actionvoip gharama imepanda, kulingana na kipato changu. Kwasasa ni €0.12/min. Nimecheki intervoip, voip, n.k nimekuta bado gharama. Ndugu yeyeto ambae anafahamu kapuni gani, au njia gani inatumika kupiga simu ambazo gharama zake ni kidogo?

  natambua uwepo wa skype, yahoo lakini ningependa kufahamu hii ya calling to mobile phones....

  Asante
   
 2. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0

  Mkuu checki hawa kama watakufaa www.rebtel.com
   
 3. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nashukuru
  Mkuu MNDEE nimecheki, jamaa wanafanya €0.142/min kwahiyo unakuta hii ni bei zaid ya nilizozitumia zenye bei €0.11, €0.12
   
 4. p

  pitapita Member

  #4
  May 9, 2010
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  jaribu voipcheap.com au localphones.com
   
 5. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nashukuru mkuu
  Mkuu pitapita nimeziangalia hizo lakini bei yake ni sawa na zile nilizokuwa ninazotumia maana ni € 0.12 na € 0.1245 per min....mwezi wa 1 na wa 2 nilizokuwa natumia zilikuwa €0.05, lakini sasa zinaenda mpaka €0.12
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Bei ni hizohizo..kaa vipi tuma sms tu pale unapoona inakula sana..
   
 7. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  tumia skype
   
 8. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu Abdulhalim
  Nashukuru maana inaonesha umefuatilia (kama si kutumia) kampuni nilizotaja.....option ya sms ipo, lengo langu lilikuwa ni kufahamu kama kuna kampuni nyingine ambayo ina cheapest calling rates.
   
 9. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  jaribu Poivy
   
 10. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2010
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Muungwana kwetu Mwenelumango haya mambo ya internet bado....Skype inakuwa kama ndoto!
   
 11. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #11
  May 11, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
Loading...