Nauliza Battery ya gari

edger jairos

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
335
71
Naomba kujua battery Bora kuliko zote na mpya n50 kati ya exide na atlas na zinapopatika ( Harrier old model 1999 cc)

Bei pia zikoje?
 
kila battery ni nzuri in my opinion, kinachokuja kuangaliwa ni jinsi unavyoitumia na kama unaifanyia service. Service ya battery ni kitendo chaku extend battery life inaeza kua kwa kui charge kwa masaa husika baada ya lets say masaa kadhaa yakufanya kazi and so on. Mi nmetumia battery ya Spark N50 kwa miaka takribani minne imekuja kufa juzi hapa baada ya mafundi kutumia umeme mkubwa kwny mtambo wao wakucharge.

Conclusion ni kwamba battery ni utunzaji tu, unaeza ishi na battery moja miaka nenda rudi na usije nunua battery nyingne tena. Maana mashine zakurevive battery cell zilizochoka zipo madukani. Na recommend ukanunue battery kwny ofisi za exide. All the best
 
Naona nimeambiw pia kun Betri nzur zaid ya exide,180...
Nenda kwny ofisi zao wanapouza jumla na reja reja, N50 inarange kwny 100k - 150k inategemea na ofisi ilipo. Ungeakua mkoa wa mbeya ningekuelekeza kwa urahisi kabisa.
 
kila battery ni nzuri in my opinion, kinachokuja kuangaliwa ni jinsi unavyoitumia na kama unaifanyia service. Service ya battery ni kitendo chaku extend battery life inaeza kua kwa kui charge kwa masaa husika baada ya lets say masaa kadhaa yakufanya kazi and so on. Mi nmetumia battery ya Spark N50 kwa miaka takribani minne imekuja kufa juzi hapa baada ya mafundi kutumia umeme mkubwa kwny mtambo wao wakucharge.

Conclusion ni kwamba battery ni utunzaji tu, unaeza ishi na battery moja miaka nenda rudi na usije nunua battery nyingne tena. Maana mashine zakurevive battery cell zilizochoka zipo madukani. Na recommend ukanunue battery kwny ofisi za exide. All the best
Niuzie hio betri mkuu kwa matumizi ya kuwashia taa tu nyumbani
 
Back
Top Bottom